....comming from nothing/nobody into something/somebody,sacrifice of being the founder......

IzeGREAT

Member
Jan 15, 2009
61
21
All my life I have been living under discouragements,discouragements almost from everybody around I,friends,classmates,teachers and much worse even my own brothers and sisters discouraged I,all what I have been hearing from them was
- U cant do this/that,...tried to ask why but the answers were ''U jst cant do it,can U stop!??
- ''Saivi unapata Hisabati 100%,ngoja ufike darasa la 6 kama utapata tena''..,I reached and got!!

- ''Kufaulu darasa la 7 mtihani wa Taifa kazi sana''..,thank GOD nikajikuta nimefaulu into the school of my dreams by that times.

- ''Sekondari kila kitu ni kwa Kiingereza,ngoja ufike uone balaa lake,utachezea namba za viatu mpaka uchoke''..,again,by the powers of ALMIGHTY,I NEVER GOT THOSE TYPES OF MARKS.

- ''Unashangaa watu kupata four,subiri NECTA yako ifike ndo utajua joto lake,ukiwa kwenye chumba cha mtihani kila kitu kichwani kinakimbia,utasahau hata definitions tu'',..yet I remembered more than definitions and went on to high school,ingawa this time not to my dream school,I happened to like MZUMBE HIGH SCHOOL ila nikapelekwa ILBORU HIGH SCHOOL,thank GOD life wasnt bad,I had fanz zer.
- ''PCB ni ngumu sana,zaidi ya yote UDAKTARI hautakupeleka popote kimaisha,mishahara kwanza ni midogo kwa Tz,badili uchukue EGM,latter ukapige B-COM UDSM,watu wanakula hela za kumwaga bila pressure''..,this ONE did hurt I,because I tried to ask some few MDs profesionals and there was a truth and still it is true til now for Tz as well as many African countries.

The funny thing is that,I decided to take PCB and went for MEDICINE,because its something I love.

UTATA WANGU MKUBWA NI KUHUSU MY FUTURE,NATAKA NICHUKUE SURGERY,SPECIFALY-PLASTIC SURGERY,je..

1) Ukiangalia ukweli halisi wa Surgery Tz,ni posibo kuja kuweza kufanya kazi as PLASTIC SURGEON kwa hivi karibuni(i.e sina uhakika kama kuna kitengo cha PLASTIC SURGERY Tz til now)???
2) Nikiweza kusoma PLASTIC SURGERY nisome tu hata kama inamaanisha kuishi ugenini for the rest of my life???
3) Kama nikisema nije na strategies za kuwa mwanzilishi wa kitengo cha PLASTIC SURGERY Tz(..i.e kama hakipo..) naweza kufanikiwa kweli(KWA NAMNA IPI UKICHUKULIA UKWELI KWAMBA KUNA HOSPITALS Tz HAZINA HATA X-RAY MACHINES)-WALIOWAHI KUWA WA KWANZA KUANZISHA DEPARTMENTS Tz MDs PLEASE!!??

..''I REALY WANA BECOME SOMETHING/SOMEBODY THROUGH MY CAREER,AS I COMES FROM NOTHING/NOBODY AND YET I DONT KNOW HOW TO FIGHT THE LAST IMPOSSIBLE(AS IT MIGHT BE SEEN BY MANY PEOPLE) THAT STANDS BEFORE I AND TURN IT INTO REALITY LIKE THE REST OF MY PREVIOUS JOURNEY''...,GIVE I THE SECRET AND SACRIFICES OF BEING THE FOUNDER OF WHAT YOU DO OR OTHERS HAVE DONE IN THEIR LIVES!!!

-...NIKO TAYARI KUPOKEA UKWELI WA MAMBO HATA KAMA UNAUMA...-
 
wow,story yako iko inspirng....bt umetoka mbali kote huko kuja kugoma kwenye hyo ishu ya plastc surgry....follow yo dreamz,thy wont disapoint u,dare to follow them,huwez jua kwanin umepewa thoz akil za ku pass academcaly,i knw kuna kuxud,to him who alot z given a lot z also expectd....
 
Hcho me mwenyewe kilintokea but at the end waliniambia tulikua tunakudiscourage ili usome kwa kutu prove we r wrong so mda mwengine usifikir kua walikua hawa kupend ila walikua wana kuaamasisha kwa njiaa nyingine
 
Chukua iron surgery plastic kama sio madhubuti hivi?kwanini hukuwaza paper surgery kwa watoto
 
...thnx Mkuu,sikuwaza much for Paeditric surgery/Sugery ya watoto sabu kuna watu wengi tu nawafahamu Tz wamechukua hiyo na General Surgery,ila for Plastic Surgey ni kutokana uhalisia wa maisha yetu Tz pia,naamini kuna wengi wanahitaji reconstruction Surgery kwa sababu nyingi na tofauti tofauti,eg Genetical disorders/Inborn disorders,Acquired disorders kama accidents,etc,..pia Plastic Surgery inakava watu wa rika zote si wakubwa tu....
Chukua iron surgery plastic kama sio madhubuti hivi?kwanini hukuwaza paper surgery kwa watoto
 
wow,story yako iko inspirng....bt umetoka mbali kote huko kuja kugoma kwenye hyo ishu ya plastc surgry....follow yo dreamz,thy wont disapoint u,dare to follow them,huwez jua kwanin umepewa thoz akil za ku pass academcaly,i knw kuna kuxud,to him who alot z given a lot z also expectd....

..nakupata fresh guccio,ila problem kubwa ni kutokuwepo kwa hii kitu Tz,kama ntachukua unazani serikali inaweza kusaport kununua vifaa vya hii department jinsi vilivyo expensive ukichulia ukweli halisi kuwa kuna baadhi ya Hospital zinakosa hata X-ray machines????...
 
My very handsome piece of advice to you, nenda ukasome,serikali km itanunua au haitanunua vifaa, ww hutakosa sehemu ya kuutumi utalamu wako. Kwa sasa nchi yetu ina uhaba mkubwa mno wa watu smart in every aspect, so if you can be one of the few,Glad I will be!! Be true to your people, be true to yourself.
 
Back
Top Bottom