Comments za kibonde kuhusu kifo cha Mwangosi

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Habari za leo wapendwa, naomba kama kuna yeyote amesikia kauli ya ephraim kibonde ktk kipindi chake cha jahazi kuhusu kifo cha mwandishi Daud Mwangosi anijuze tafadhali maana naona habari hii ni mtego kwake, je ameegemea upande wa serikali ya ccm na jeshi lake la polisi au upande wa mwandishi mwenzie japo alikuwa anaripoti habari za chadema? ni hayo wakuu.
 
Kibonde alijifanya yuko Neutral kwenye issue ya Mwangosi.

Kifupi Jahazi limeshazama zamani, siku hizi watu wanasikiliza Times Fm kipindi cha maskani kinachoongozwa na Gadna Habash, muda ule ule jahazi likiwa hewani. Bahati mbaya Times Fm haisikiki mikoani zaidi ya Dar, Arusha na Mwanza.
 
times Fm iko hewani just google mtaiona,
Kibonde alishabondeka na kuzama siku nyingi
captain ana jahazi jipya times fm na anongea ya busara na hekima
 
Kibonde kalizamisha jahazi.. wamtimue tu kuna dogo Anold kayanda naona anajitahidi sana
 
Kibonde alijifanya yuko Neutral kwenye issue ya Mwangosi.

Kifupi Jahazi limeshazama zamani, siku hizi watu wanasikiliza Times Fm kipindi cha maskani kinachoongozwa na Gadna Habash, muda ule ule jahazi likiwa hewani. Bahati mbaya Times Fm haisikiki mikoani zaidi ya Dar, Arusha na Mwanza.

nawezaje kuipata Arusha?
 
Kibonde kafulia anaendekeza chama,now days hata serikali inapokosea wanakosolewa ila kibonde nadhan anataka ubunge kupitia ccm.tune times umckie GADNER G HABASH,mida ileile ya jahaz
 
Ndio tatizo hapo, kuna haja ya kurusha matyangaza kwenye mikoa yote ili umma ufunguke macho na kuburudika pia.
Mungu jalia, watapata mitaji ya kufunga transmita mikoani
 
Nimefurahi sana kusikia Gadna G. Habash yuko live Tmes FM maana hawa kina Kibonde wanabondesha hawana mvuto tena
 
Back
Top Bottom