Mkuu hapo umenena, nowdays najitahidi sana kuwa makini ktk coments zangu, huwa inaniuma sana pale nimkwazapo member wa humu jf. wakati mwingine twafanya mambo pasipo kujua, huwa tunakuwa irrational. Kikubwa ni kusameheana na wewe uliyecoment yakupaswa uhandle situation isije kukudhuru! Thanx kwa thread nzuri, yenye ukweli mkuu!
Mimi siamini ktk umuhimu wa kuficha ID. Ndo maana niko wazi mpaka contacts zangu ziko wazi. Niko tayari kuyasimamia ninayosema na niko tayari kuwajibika kwa kila ninachoandika jf.
tunafanana. Lol.Unajua kwenye maisha huwezi pendwa na watu wote, mie huwa naweka sauti, yaani kila mtu kutokana na post zake, nahisi tu anayeandika na majazba huwa na sauti yake, mwenye mzaha huwa nina sauti yake, kuna wengine hadi nahisi kama wana vigugumizi, mi huwa naongea taratiiibu na watu wengi wananichukulia mpole kama hajanizoea, ila akinizoea lazima aniambie ww dada unaonekana mpole sana kumbe unaongeaga??
Kweli nyie kiboko mmeficha mpaka nafsi,ngoja nijaribu kuamini
mkuu john doe ni mtu ambae hajulikani identity yake..
hutumika sana marekani hili neno,sina uhakika na chanzo chake nafikiri alieanzisha hili jina aliitwa hivyo
hutumika na poli na fbi hasa kwa watu waliokutwa mahututi kwenye ajali au milipuko na hata maiti
anaitwa john doe mpaka atakapofahamika jina lake
Hicho ndicho muhimu kwangu...Sante..List ndio mpango mzima AD,afadhali kama nimekuweka hapo No.95
Mmmhhhhbaba watoto yumo humuStaki mangumi kwa kumsema..Boss wangu yuko hapaBado napenda kazi yangu..Napenda zaidi wana JF kujibu posterZangu ipasavyo sio sababu wanani jua.Baba watoto CCM mimi CDM lakiniAnadhani mimi CCM ..Wengine hapa ndio viongozi wakubwaWa nchi (kutunza kheshima zao)Hayo na mengine mengi....Ni kweli,but all an all anaeficha ID ni yule ambae hajiamini au kuna kitu ambacho sio chema anaficha,kama unajiamini na uko clean unasababu gani ya kujificha?
Amazing Pretty Preta...!katika yote uliyotaja.....mimi nimepatwa na limoja tu......nimefall in love....na sijutii
Me nishalia humu nikajuta kuleta sredi, ila kuna wapo walinipa moyo na kunisaidia kusolve. Siwapendi japo siwajui.
Kwanini umuogope mumeo kama uko kwa wema humu?Kama atachukia wewe kuwa CDM atakuwa na matatizo ya udikteta,ni haki yako kuchagua chama ukitakacho,bosi wako hawezi kukasirika kama wewe ni Great Thinker,bado sijaona sababu hapo!Mmmhhhhbaba watoto yumo humuStaki mangumi kwa kumsema..Boss wangu yuko hapaBado napenda kazi yangu..Napenda zaidi wana JF kujibu posterZangu ipasavyo sio sababu wanani jua.Baba watoto CCM mimi CDM lakiniAnadhani mimi CCM ..Wengine hapa ndio viongozi wakubwaWa nchi (kutunza kheshima zao)Hayo na mengine mengi....