January baby
kuna ukweli mahali fulani hapa........
haya mambo ya utabiri hua wanaweka vingiiiiii then you look at it, and recognize one or two things that happened to you last month na unaona kuna kaukweli... alafu watu hua tunasoma zetu tu. that your time and read za wengine pia, utaona you can recognize yourself in them as well, so...
Khaaaaa! Haya makitu yana ukweli eeh!
Ndio ujiulize hapo. Hata mimi nikisema nitoe 10 characteristic za Kongosho then I make sure there are 8 good and 2 bad, lazima utakapo soma utafurahia na kusema kua at least 80% is true. Hii kazi wa uganga wa kienyeji nilifanya zamani when I was in uni. lolSure, ni guess work
Miezi ipo 12 tu, na watu tuko ...
Ndio ujiulize hapo. Hata mimi nikisema nitoe 10 characteristic za Kongosho then I make sure there are 8 good and 2 bad, lazima utakapo soma utafurahia na kusema kua at least 80% is true. Hii kazi wa uganga wa kienyeji nilifanya zamani when I was in uni. lol
Mmmh kama utabiri wa hali ya hewa vile
Wewe wa mwezi gani?
october.
Alaaa kumbe....!! Kweli kuna ukweli.