Njowepo JF-Expert Member Feb 26, 2008 9,710 2,226 Oct 27, 2010 #21 Unajua watz wengi hawajui kuconnect kura yao na maisha yao. Na wataendelea kumalizwa kwa umaskini,magonjwa
Unajua watz wengi hawajui kuconnect kura yao na maisha yao. Na wataendelea kumalizwa kwa umaskini,magonjwa
GFM JF-Expert Member Sep 21, 2010 706 6 Oct 27, 2010 #22 Na huyu mkazi wa nyumba hii anaamini kauli ya mkwere ya kumpatia kila mtazania maisha bora. Inawezekana hapa ni Lugoba maeneo ya chalinze!
Na huyu mkazi wa nyumba hii anaamini kauli ya mkwere ya kumpatia kila mtazania maisha bora. Inawezekana hapa ni Lugoba maeneo ya chalinze!
Muro Senior Member Oct 27, 2010 167 3 Oct 28, 2010 #25 Ndiyo TZ yetu unaweza kukalia kisu huku unafurahi huo ndiyo mfano wake
Ntemi Kazwile JF-Expert Member May 14, 2010 2,182 307 Oct 28, 2010 #26 Maisha bora kwa kila mdanganyika
K Kithuku JF-Expert Member Nov 19, 2006 1,395 208 Nov 4, 2010 #27 Mshirazi said: Hata kama anaishi kwenye tembe,,,, lakini ana MAPENZI mwacheni msimbughudhi Click to expand... Maalim Seif angekuambia ana 'mahabbat'
Mshirazi said: Hata kama anaishi kwenye tembe,,,, lakini ana MAPENZI mwacheni msimbughudhi Click to expand... Maalim Seif angekuambia ana 'mahabbat'
Omukuru JF-Expert Member Nov 4, 2010 242 39 Nov 4, 2010 #28 Haya kweli ndiyo maisha bora kwa kila mchakachuliwa.
Ehud JF-Expert Member Feb 12, 2008 2,685 337 Nov 5, 2010 #30 Umasikini=CCM..Simple Mlinganyo sahihi..you remember those std 4 maths?
J Jafar JF-Expert Member Nov 3, 2006 1,136 52 Nov 5, 2010 #31 Ahadi ilizotoa CCM imezitekeleza na ushahidi ndio huo
Bigirita Platinum Member Feb 12, 2007 15,986 7,366 Nov 5, 2010 #32 Mshirazi said: Hata kama anaishi kwenye tembe,,,, lakini ana MAPENZI mwacheni msimbughudhi Click to expand... anamapenzi na makalio yako?
Mshirazi said: Hata kama anaishi kwenye tembe,,,, lakini ana MAPENZI mwacheni msimbughudhi Click to expand... anamapenzi na makalio yako?