Commander-in-Chief na mkewe juu ya USS Carl Vinson

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Kulipigwa kikapu kati ya Michigan State University na North Carolina....

Michelle+Obama+Barack+Obama+Quicken+Loans+UGmb3lsba7il.jpg

Michelle+Obama+Barack+Obama+Quicken+Loans+Q09h6j0Oh9Nl.jpg

Michelle+Obama+Barack+Obama+Quicken+Loans+BZqZEYheYn5l.jpg

wamarekani wamepata rais,u can feel proud to be american sio kwetu aibu tupu ngoja nikamilishe mipango yangu ya kubadili uraia niachane na uozo huu wa tz
 
Nyani Ngabu, it will take ages kwa nchi nyingine iwayo yeyote kuyatengeneza. I have to admit these monsters are huge!!

American chose to have their different style of life, and so their president!! ****** wetu anavyopendaga kuiga alijaribu sana kwa Bush; mara kubadili picha ya rais (infact style aliyotumia kupigia picha ilikuwa sawa na Bush) mwishwe yaka mshinda!!!
 
nimependaa pichaaa ya mwisho....u can feel through smile and that luk!!kwambaaa there so inlove,JK hawezi kukaa hivi na kutabasamu kama hivi na mama salma.
 
wamarekani wamepata rais,u can feel proud to be american sio kwetu aibu tupu ngoja nikamilishe mipango yangu ya kubadili uraia niachane na uozo huu wa tz

nimependaa pichaaa ya mwisho....u can feel through smile and that luk!!kwambaaa there so inlove,JK hawezi kukaa hivi na kutabasamu kama hivi na mama salma.

Niki-comment naweza kuwa mhanga wa mwisho wa mwaka.
 
Hivi haiwezekana obama kuchukua uraia wa tz baada ya muda wake kwisha huko
usa aje agombee kwetu tumpe nchi?
 
nimependaa pichaaa ya mwisho....u can feel through smile and that luk!!kwambaaa there so inlove,JK hawezi kukaa hivi na kutabasamu kama hivi na mama salma.

mhh atawahi simu yenyewe kutwa yuko nayo kwapani anaogopa mimeseji ya kimajumuhi itaonwa na ni mkubwa....hahaaaa
 
nimependaa pichaaa ya mwisho....u can feel through smile and that luk!!kwambaaa there so inlove,JK hawezi kukaa hivi na kutabasamu kama hivi na mama salma.

JK hawezi,si unajua tena yule ni mzee wa totoz,akiona watoto wazuri mate yanamdondoka.
 
Back
Top Bottom