n00b
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 1,006
- 2,667
Mkuu,Hii itatokea labda miaka 200-300 ya Uhuru wa Tanganyika
Siasa inaanza. Hakuna aliyezaliwa kuwa masikini wewe. Kama wewe msomi kweli, basi pinga kwa hoja
Mi nataka tuanze kuongea kisomi mkuu wangu, hujanikwaza. Ni challenge ambayo tunayo kwa sasa kama taifa. Sasa, tukomae tujue status za miradi hii na kama fedha kwa ajili ya miradi hii zipo. Tunaweza kuanza kutembea vifua mbele (hata kama hatuna stake katika projects zenyewe) endapo hii miradi itafanikishwa bila kuvurugwa.Sory mkuu, kama nimekukwaza. Wakati mwingine hisia zangu hufunika kabisa USOMI wangu
Watakuja hapa utawaona Cc: Smatta Nairoberry Mekatilili na wenyeji wao Gezaulole na Ab-TitchazKidogo niweke kule kwa watani zetu ili tuwaringishie
:high5:
Project ikifanyiwa kazi na siasa zikawekwa kando, basi tutaelekea kuzuri, ajira zitatengenezwa, mapato yatakusanywa.