coming from the BAN..

mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,323
1,105
nilipigwa ban ya vi-siku kadhaa, kusema kweli sijui kosa langu lilikuwa lipi na bado sijalijua, sababu pia sijawahi post matusi wala abuse yoyote humu so bado sielewi kosa langu la kupigwa ban.

najihis kama mgeni vile, na toka nipigwe ban, mvuto wa jf kwangu umepotea kidogo!
 
Pole sana kijana wangu...
Labda umesahau ila hawawezi kukuadhibu bila sababu!
Karibu sana na tena
 
Nashukuru Erickb52 , asante nyingi zikufikie.

Inawezekana labda kuna mahali niliteleza, lakini kweli sijui hapo nilipoteleza, kama ni kwa ku-post matusi au kumu-abuse mtu nakataa, ningeambiwa hata kosa langu ni lipi kabla ya kupigwa ban.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Erickb52 , asante nyingi zikufikie.

Inawezekana labda kuna mahali niliteleza, lakini kweli sijui hapo nilipoteleza, kama ni kwa ku-post matusi au kumu-abuse mtu nakataa, ningeambiwa hata kosa langu ni lipi kabla ya kupigwa ban.
Teh inawezekana kuna mtu alimind kitu aka Report post au Abuse na wao bila kuangalia wakafyatuka
Wasamehe kaka!
Achana nao twende zetu Chit Chat tukagonge story
 
nilipigwa ban ya vi-siku kadhaa, kusema kweli sijui kosa langu lilikuwa lipi na bado sijalijua, sababu pia sijawahi post matusi wala abuse yoyote humu so bado sielewi kosa langu la kupigwa ban.

najihis kama mgeni vile, na toka nipigwe ban, mvuto wa jf kwangu umepotea kidogo!

Pole sana ndugu, ila don't give up with JF. Karibu tena. Jisikie uko nyumbani.
 
nilipigwa ban ya vi-siku kadhaa, kusema kweli sijui kosa langu lilikuwa lipi na bado sijalijua, sababu pia sijawahi post matusi wala abuse yoyote humu so bado sielewi kosa langu la kupigwa ban.

Najihis kama mgeni vile, na toka nipigwe ban, mvuto wa jf kwangu umepotea kidogo!
pole sana mkuu...
Check na moderators watakwambia nini shida.
 
Back
Top Bottom