Comedy original (TBC) VS Comedy star search (EA tv)

Kina Masanja naona wangetoa kile ki Cartoon cha sijui mbwa kinaniboa sana sio
 
haya ngoja tuone, ila EATV wangebuni kitu kingine sio Komedy Komedy!! Hizi ni dalili za kutokuwa na upeo mkubwa wa kutafuta vitu vipya, anyway acha watu waone hivi vitu vipya vya akina Mtanga.
 
NImekuwa disappointed sana kuona Bambo na Mtanga ni mojawapo wa washindi- binafsi huwa nawaona sio wachekeshaji labda niseme hawana jipya vituko vya tushavizoea hasa Bambo- kpindisha mdomo, suruali ile, na kile kiswa-ngoni chake.

Katika fani ya uchekeshaji naona Futuhi wanajitahidi sana, wana wachekeshaji wazuri
 
Nitajitahidi kuangalia Futuhi nione kama ina mabadiriko sijawahi kuipenda
 
NImekuwa disappointed sana kuona Bambo na Mtanga ni mojawapo wa washindi- binafsi huwa nawaona sio wachekeshaji labda niseme hawana jipya vituko vya tushavizoea hasa Bambo- kpindisha mdomo, suruali ile, na kile kiswa-ngoni chake.

Katika fani ya uchekeshaji naona Futuhi wanajitahidi sana, wana wachekeshaji wazuri

nimeamini kila mtu analo limchekeshalo,hawa futuhi badala ya kunichekesha hunitia hasira,kwakweli siwakubali kabisa katika katika uchekeshaji.sijajua tatizo nini katika wachekeshaji weti aidha wanalazimisha kuchekesha si fani yao,siyo wabunifu au hadhira haitoi ushirikiano kwani kimtaani wachekeshaji wa uso kwa uso katika maongezi ni wengi sana lakini katika media wenye uwezo ni wachache au wataanza vizuri halafu wanapoteana na kuanza kulazimisha aidha kwa kutukana au kuongea maneno machafu wakidhani ndo uchekeshaji
 
Back
Top Bottom