chapaa
JF-Expert Member
- Feb 19, 2008
- 2,351
- 203
Mkuu mbele ya pesa mbona utawaona wa kumwaga
wengineo wa humuhumu jamvini!Lol
pesa ndo kila kitu
wengineo wa humuhumu jamvini!Lol
pesa ndo kila kitu
hapo unatoa shindano kwa warembo..
zawadi sh milioni moja....
ndipo utakapowashangaa wadada hapo lol