Colon cancer (saratani ya utumbo mpana)

Bongo Pix Blog

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
213
33
Habari wanabodi,
Mnaweza shangaa leo kuja na uzi huu wa Saratani ya Utumbo mpana, kifupi mi si tatbibu na wala sina fani yoyote ya namna hiyo, bali mambo haya yakikukuta ndo utayajua, sometime kuliko daktari mwenyewe, hasa ukiwa mtafiti wa kwanini nimepata tatizo hili ama lile, yalinikuta, haikufika kuwa saratani, labda kwa kuwa Mungu hakutaka ifike huko, lakini cha moto nimekiona, hivyo nimeona bora tuelimishane kupitia JF ili sote tuwe na tahadhari ya aina fulani hasa kuhusiana na magonjwa haya ya kujitakia, ndio ni ya kujitakia, yanaitwa Lifestyle Diseases ama magonjwa yasababishwayo na mitindo yetu ya maisha.

"What you eat may play a role in your risk of colon cancer. Colon cancer may be associated with a high-fat, low-fiber diet and red meat. However, some studies have found that the risk does not drop if you switch to a high-fiber diet, so this link is not yet clear.

Smoking cigarettes and drinking alcohol are other risk factors for colorectal cancer." kwa mujibu wa U.S National Library of Medicine


Ndio maana nikasema ni ya kujitakia, tafiti zaonesha "90% of chronic diseases come from infection of gastrointestinal"
na sababu kuu ni tatizo la kukosa choo, mi nilikuwa najiona sawa tu kama sijaenda haja siku moja au mbili, nikidhani ni kawaida, kumbe nilikuwa nalundika matatizo, mtu yeyote ambaye anapata mlo walau mlo mmoja kwa siku na kupitisha siku moja au zaidi bila kupata choo anatatizo la kukosa choo, sasa je weye unaye pata milo mitatu kwa siku bila kutoa uchafu huo je wadhani waenda wapi? kitaalumu tatizo hili lajulikana kama Constipation.

Wataalamu wanasema sababu ziko nyingi ikiwa ni pamoja na:-

  • Kukosa mlo kamili ama kula vyakula viingi vyenye kiwango kikubwa cha wanga na mafuta,
  • Kula vyakula vilivyokobolewa na vilivyo changanywa na madawa ili visiharibike,
  • mifumo hatarishi ya maisha (Dangeraous Lifestyles) kama vile matumizi ya pombe na sigara kwa wingi,
  • Ukosefu wa kiwango cha kutosha cha mbogamboga na matunda katika milo yetu,
  • Maji yasiyo salama,
  • Kuvuta hewa chafu,

Hizi ni baadhi tu, na hadhari zake zaweza kuwa:-

  • Chakula kutomeng'enywa vizuri (poor function of digestion system)
  • Maumivi makali wakati wa kupata choo,
  • Uchafu uliokaa muda mrefu kugeuka sumu,
  • Bakteria wenye madhara kuzaliwa na kuathiri utumbo mpana na viungo vingine mwilini.

Hii yaweza sababisha magonjwa sugu kama:

  • Saratani ya utumbo mpana (Colon Cancer)
  • Presha (Arteriosclerisis)
  • Kuongezeka uzito (Obesity)
  • Tumbo kujaa gesi
  • Magonjwa ya Ini
  • Figo kushindwa kufanya kazi vizuri,
  • Magonjwa ya ngozi,
  • Kukakamaa kwa mishipa ya damu,
  • Kisukari,
  • Magonjwa ya moyo n.k

Kama nilivyotangulia kusema kuwa mi sio tabibu, bali nilikuwa mgonjwa, sikuwa napata choo vyema, tumbo lilikuwa linajaa gesi, alafu naona nanenepa tumbo tu, nikienda uwani ni maumivu makali, nilienda hospitali nikapata dawa, lakini hazikusaidia sana, ndipo nilipopata habari ya hii Phyto Fiber, niliitafiti kwanza, nilipotumia toka siku ya kwanza niliona matokea chanya, ika Shake off tumbo langu, mpaka namaliza dozi ya wiki 2 tumbo langu na afya yangu imekuwa ok.

Pengine wapo wadau wanatatizo hilo ama wanamfaha aliye na hilo tatizo, ni PM ama nitwangie 0784475576 nitakuelekeza wapi kwa kupata suluhisho la tatizo hili.

Si lazima uwe na tatizo lolote bali ni vyema kuyafanyia usafi matumbo yetu (Intestinal tract cleansing), kwani tafiti zaonesha kuwa tumbo lisilo safi ni chanzo cha aslimia 90 ya magonjwa sugu duniani, na ugonjwa wa Saratani ya utumbo mpana unashika nafasi ya nne kwa vifo.

Ni PM au nitwangie ukiwa na maoni yoyote 0784475576, au Tembelea HAPA 4 Details




colon_cancer_1963_lancastria.jpg
 
Mkuu uko sahihi, na kwa ushauri mwingine kama hutaki, hiyo basi nunua ukwaju na hakikisha kuwa kabla ya kulala unakunywa glass moja ya juice ya ukwaju kali na asubuhi baada ya kuamka, utaona mwenendo wako wa choo unakuwa mzuri, ngozi inakuwa nzuri na unajisikia mwenye nguvu muda wote. Kwa kifupi tumegubikwa na vyakula vya kizungu na hatuna utaratibu wa mazoezi tutakufa balaa. Badala ya kunywa soda, kunywa juice ya ubuyu, ukwaju, chai yenye ndimu nk.
 
BENEFITS OF SHAKE OFF PHYTO FIBER.
- Made from all organic ingredients, no side effects.
- Fast effective and affordable way to eliminate congested waste matter. Thus preventing Coprostasis and colon cancer.
- Reducer excess weight and lowers bad cholesterol.
- Promotes better complexion and has an anti-aging effect.
- Promotes growth of good bacteria to reduce constipation problems.
- Convenient to carry around, easy to prepare and tastes great.

Why detoxify our intestine?
As colon cancer is
 
Mkuu uko sahihi, na kwa ushauri mwingine kama hutaki, hiyo basi nunua ukwaju na hakikisha kuwa kabla ya kulala unakunywa glass moja ya juice ya ukwaju kali na asubuhi baada ya kuamka, utaona mwenendo wako wa choo unakuwa mzuri, ngozi inakuwa nzuri na unajisikia mwenye nguvu muda wote. Kwa kifupi tumegubikwa na vyakula vya kizungu na hatuna utaratibu wa mazoezi tutakufa balaa. Badala ya kunywa soda, kunywa juice ya ubuyu, ukwaju, chai yenye ndimu nk.

Thanks for the inputs
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=4082720
 
There is a very nice product for that that is certified by the international aloe science council after an extensive research of more than 30 years.mkuu ametoa maelezo mazuri tunashauriwa kusafisha matumbo yetu.those on need call 0715720276.
 
Habari wanabodi,
Mnaweza shangaa leo kuja na uzi huu wa Saratani ya Utumbo mpana, kifupi mi si tatbibu na wala sina fani yoyote ya namna hiyo, bali mambo haya yakikukuta ndo utayajua, sometime kuliko daktari mwenyewe

ndipo nilipopata habari ya hii Phyto Fiber, niliitafiti kwanza, nilipotumia toka siku ya kwanza niliona matokea chanya, ika Shake off tumbo langu, mpaka namaliza dozi ya wiki 2 tumbo langu na afya yangu imekuwa ok.

Pengine wapo wadau wanatatizo hilo ama wanamfaha aliye na hilo tatizo, ni PM ama nitwangie 0784475576 nitakuelekeza wapi kwa kupata suluhisho la tatizo hili.

Si lazima uwe na tatizo lolote bali ni vyema kuyafanyia usafi matumbo yetu (Intestinal tract cleansing)

Ni PM au nitwangie ukiwa na maoni yoyote 0784475576.


Mbwembwe zote hizo kumbe unataka kuuza dawa tu...
 
Mbwembwe zote hizo kumbe unataka kuuza dawa tu...

Ndugu yangu, siuzi chochote bali na share, for sharing is caring.
Mwenye afya hamuitaji daktari wanaomuitaji ni walio wagonjwa, shukuru Mungu kama afya yako ni njema si kwa kujiangalia bali kwa vipimo, lakin kama hujawai fanya health check-up zaid ya miezi sita na wapakia acidic food kwa wingi kuliko alkaline food, huna pa kukwepea, jiandae kupasuliwa utumbo ama saratani.
stay blessed.
 
Wanabodi, je ni kwa kiasi gani twaupa umuhimu usafi wa matumbo yetu?

Kutokusafisha matumbo angalau mara mbili kwa mwaka kwatupelekea kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa sugu kama ilivyooneshwa katika posti hii, iwapo kila siku wafanya usafi wako mwenyewe kwa nje na choo chako wakisafisha kwa kila aina ya madawa, je wakumbuka kusafisha unakotoka uchafu huo???

Utumbo mpana wafananishwa na dampo la mjini, kwa wale wanaoishi jirani na madampo ya muda mjini wataelewa kwa haraka, fikilia kuwa dampo hilo lisipokuja kusafishwa kwa muda wa siku mbili au tatu mpaka wiki hali itakuwaje??

Fikiria, chukua hatua.
 
Asante kwa hii thread mkuu,maana kuna kinywaji kinaitwa ALOE VERA GEL, ni nzuri kwa ajili ya kusafisha na kusaidia mmeng'enyo wa chakula,kuondoa sumu,kuondoa uvimbe,kuponya vidonda,na pia husaidia uponyaji wa maradhi kama vile arthritis,pressure,kisukari, vidonda tumbo,kukuongezda nguvu na kupunguza aleji mwilini. Anakae hitaji anPM tafadhali,asante!
 
WHO NCDS.jpg

NONCOMMUNICABLE DISEASES.

Noncommunicable diseases (NCDs), such as heart disease, stroke, cancer, chronic respiratory diseases and diabetes, are the leading cause of mortality in the world.

This invisible epidemic is an under-appreciated cause of poverty and hinders the economic development of many countries. The burden is growing - the number of people, families and communities afflicted is increasing.

Common, modifiable risk factors underlie the major NCDs. They include tobacco, harmful use of alcohol, unhealthy diet, insufficient physical activity, overweight/obesity, raised blood pressure, raised blood sugar and raised cholesterol.

The NCD threat can be overcome using existing knowledge. The solutions are highly cost-effective. Comprehensive and integrated action at country level, led by governments, is the means to achieve success.

Key facts

  1. Noncommunicable diseases (NCDs) kill more than 36 million people each year.

  1. Nearly 80% of NCD deaths - 29 million - occur in low- and middle-income countries.
  2. More than nine million of all deaths attributed to NCDs occur before the age of 60; 90% of these "premature" deaths occurred in low- and middle-income countries.
  3. Cardiovascular diseases account for most NCD deaths, or 17.3 million people annually, followed by cancers (7.6 million), respiratory diseases (4.2 million), and diabetes (1.3 million1).
  4. These four groups of diseases account for around 80% of all NCD deaths.
  5. They share four risk factors: tobacco use, physical inactivity, the harmful use of alcohol and unhealthy diets.

Overview
Noncommunicable diseases (NCDs), also known as chronic diseases, are not passed from person to person. They are of long duration and generally slow progression.
The four main types of noncommunicable diseases are cardiovascular diseases (like heart attacks and stroke), cancers, chronic respiratory diseases (such as chronic obstructed pulmonary disease and asthma) and diabetes.

NCDs already disproportionately affect low- and middle-income countries where nearly 80% of NCD deaths – 29 million – occur. They are the leading causes of death in all regions except Africa, but current projections indicate that by 2020 the largest increases in NCD deaths will occur in Africa.
In African nation's deaths from, NCDs are projected to exceed the combined deaths of communicable and nutritional diseases and maternal and prenatal deaths as the most common causes of death by 2030. (Hili ni JANGA LINGINE KWA AFRIKA)

Who is at risk of such diseases?
All age groups and all regions are affected by NCDs. NCDs are often associated with older age groups, but evidence shows that more than 9 million of all deaths attributed to noncommunicable diseases (NCDs) occur before the age of 60. Of these "premature" deaths, 90% occurred in low- and middle-income countries. Children, adults and the elderly are all vulnerable to the risk factors that contribute to noncommunicable diseases, whether from unhealthy diets, physical inactivity, exposure to tobacco smoke or the effects of the harmful use of alcohol.

These diseases are driven by forces that include ageing, rapid unplanned urbanization, and the globalization of unhealthy lifestyles. For example, globalization of unhealthy lifestyles like unhealthy diets may show up in individuals as raised blood pressure, increased blood glucose, elevated blood lipids, overweight and obesity. These are called 'intermediate risk factors' which can lead to cardiovascular disease, a NCD.


NB:Remember healthy expert say "90% of all chronic diseases llike (Cancer, diabetes, stroke, Cardiovascular Diseases, Obesity/overweight,heart attacks etc) comes from unhealthy colon.

Je pana umuhimu wowote wa kusafisha utumbo mpana??

*THIS KNOWLEDGE IS AVAILABLE AND FREE TO SHARE, JUST PM. (MAARIFA HAYA YA KUWEZA KUPUNGUZA NA KUJIEPUSHA NA VIFO HIVI YANAPATIKANA BURE, YEYOTE ANAKARIBISHWA KUYAPATA MAARIFA HAYA NA KUYATUMIA KATIKA KUPAMBANA JANGA HILI, "TOGETHER WE CAN")
for more info CLICK HERE


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom