Collin Powel: nilimpigia kura Obama 2008 na nitampigia tena mwaka huu....!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Collin Powel amesema wazi kuwa alimpa kura yake Rais Barack Obama katika uchaguzi uliofanyika 2008. Pia ameeleza wazi msimamo wake kuwa atampa tena kura ndio Obama katika uchaguzi wa mwaka huu.......

Source: BBC News



My take:
Kiongozi gani hapa bongo anaweza kueleza kitu cha namna hii??
 
Back
Top Bottom