Collection yangu week hii...

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
376929_476196725741273_488160877_n.jpg
 
mwaJ ngoja niianze basi episode ya kwanza na ya pili na ya tatu nisubirie zitakazoendelea
Mr Rocky wakati unatazama hizo episodes za mwanzo, ukifika ukifikia ile sehemu Kova anasema hataki malumbano na Gwajima nishtue tuendelee wote kwenye episodes zinazofuta. Ngoja nikaongeze popcorn na coke.
 
Last edited by a moderator:
Ya leo imeshatoka lakini hapa ninatumia simu nashndwa kuiweka hapa
 
Mr Rocky wakati unatazama hizo episodes za mwanzo, ukifika ukifikia ile sehemu Kova anasema hataki malumbano na Gwajima nishtue tuendelee wote kwenye episodes zinazofuta. Ngoja nikaongeze popcorn na coke.

mwaJ wamezima bana wanasema hawataki kuendelea na episode nyingine maana sterling haonekani amefichwa na wahusika akina Kova
 
Last edited by a moderator:
mboni kawaida tu hiyo embu nenda nyamala makaburini uone watu wanavyojiachia makaburini mboni fresh tu....
 
Duh!naskia ukitaka kuwa featured kwenye hili muvi ni rahisi tu!!unakwenda pale kwa mch Gwajima kisha unawaomba maafandegeti kumuona mh, wao watapiga simu studio kwa kova na tayari unakuwa enrolled kwenye episode zitakazo fuata,mi ndo nipo njiani naelekea huko!!ziwezi kubali kufa kabla sija-wochiwa laivu kwenye runinga.
 
Hapa ndio napomchukia mzungu,wakati wa ubaguzi USA ndio ilikuwa mstari wa mbele kuisaidia serikali ya kibaguzi,na walipinga kabisa hatua za kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Afrika ya kusini,lakini baada ya weusi kushinda na kutokomeza ubaguzi bila visasi sasa hivi kila mtu anataka kujipendekeza kwa mzee Mandela.Ama kweli mtu mweupe siku zote hawezi kukuthamini kama hakuna anachonufaika nacho kutoka kwako..
 
Back
Top Bottom