Majeneza yanayoundwa kwa sanaa tofauti Ghana

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Jamani hebu chekini hayo majeneza ya Waghana! Siku hizi watu wakifa wanaandika wanataka wazikwe katika jeneza la aina gani, kama ulikuwa mpenzi wa coke, gari ulilokuwa ukiendesha, Safari au mafish.......Hiyo ndo sayansi na teke linalokujia!

coffin19.jpg

coffin11.jpg

coffin2.jpg

coffin27.jpg

coffin23.jpg

coffin18.jpg

coffin14.jpg

coffin25.jpg

coffin3.jpg

coffin9.jpg

coffin1.jpg

coffin10.jpg

coffin13.jpg

coffin17.jpg

coffin22.jpg

coffin8.jpg

coffin7.jpg

coffin4.jpg

coffin12.jpg

coffin21.jpg

coffin28.jpg

coffin16.jpg

coffin24.jpg

coffin6.jpg

coffin20.jpg
 
- wapo bomba,ila sasa mfu hutengenezewa jeneza kufuatia kigezo gani?

- Nikiwa na maana kuwa je hujichaguli amwenyewe kabla ya umauti au?
 
Jamani hebu chekini hayo majeneza ya Waghana! Siku hizi watu wakifa wanaandika wanataka wazikwe katika jeneza la aina gani, kama ulikuwa mpenzi wa coke, gari ulilokuwa ukiendesha, Safari au mafish.......Hiyo ndo sayansi na teke linalokujia!

Ndugu yangu... siyo tu siku hizi.Watu wa Makabila fulani hasa lile la Ga. walikuwa na utamaduni wa kipindi kirefu - wa jinsi wanavyowalaza wapendwa wao kuanzia jeneza hadi mazishi yenyewe.Waliamini kuwa kifo ni transition tu kutoka maisha ya hapa duniani kwenda kuendelea tena kwenye maisha sehemu nyingine. Hata mtu asipochagua aina ya jeneza, walikuwa wakiangalia huyu mtu alikuwa anafanya kazi gani.Kama alikuwa anaendesha gari au kama alikuwa mvuvi basi huchongewa nyumba ya mwisho kufuatana na kazi au shughuli yake. Kama alipenda kinywaji, basi si ajabu wakachonga jeneza lenye mfano wa chupa ya bia.

In fact hiki ni kivutio kimojawapo cha utalii na ukifika huko lazima utatembezwa uonyeshwe wanavyotengeneza majeneza hayo. Mtu huenziwa kufuatana na kazi yake, au hata hobby. Jeneza moja laweza kugharimu kuanzia dola 500 na kuendelea hivyo wachonga majeneza wana ajira yenye kipato cha kutosha.
 
Asante kwa information hii....unaonekana uko well informed....asante maana nilikuwa natamni maelezo kama haya.
Ila kama kazi ya marehemu ni dada poa/changu au mtoto si riziki (shoga).....hawa majeneza yao sijui yanakuwaje!!! labda la samaki kwa mashoga!
mix with yours
 
...au muundo wa condoms kuonyesha marehemu alikuwa alijishughulisha na hiyo mambo!!!
 
Kusini mwa nchi ya Ghana kuna kabila inayoitwa Ga,kwa mila ya hii kabila majeneza yao huwa na miundo tofauti ya kutengeneza kutokana na taaluma au ujuzi wa mtu,wanaozikwa kwenye haya majeneza wengi wao ni watu wanaoheshimika kwenye jamii yao kama Waganga wa kienyeji(priests ),machifu au mtu ambaye anaheshimika kwenye jamii.

Familia au ukoo ndo unaamua jeneza litengenezwe kwa muundo upi
20200422_125009.jpeg
20200422_125032.jpeg
20200422_125057.jpeg
20200422_125121.jpeg
20200422_125147.jpeg
20200422_125207.jpeg
20200422_125223.jpeg
20200422_125243.jpeg
20200422_125300.jpeg
20200422_125316.jpeg
20200422_125335.jpeg
20200422_125353.jpeg
20200422_125411.jpeg

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Back
Top Bottom