Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Coet hakufai na Moshi wa mabomu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchambuzixx, Nov 11, 2011.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  jamani coet hakufai ni mabomu mpaka madarasani utafikiri polisi wanapambana na wahalifu duh hii nchi .....
   
 2. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani bado police wanapiga wanafunzi?
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,896
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Police wenyewe la saba na form 4 failure, unategemea nini jamani?
   
 4. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,271
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbona wakiambiwa kuna ujambazi hawaendi? Serikali ya ajabu sana. Yaani kazi ya polisi TZ ni kwa ajili ya upinzani na wanafunzi
   
 5. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 3,257
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Tujuze kuna nini wengine tupo mbali na Dar.Wamefanya nini mpaka wapigwe mabomu?
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 3,954
  Likes Received: 2,497
  Trophy Points: 280
  Hojamaa waajab kwel kwenye maswala ya kupiga raia wadai haki huwa nanafika mapema kwel na kujitahid kwa nguvu zote mpaka wanashinda kuwazuia wadai haki.

  Lkn kwa majambaz na wez huwa hawatokei kbs au wakitokea kwa kuchelewa.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,846
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  kitu booom.
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hivi wanafunzi wameshidwa kukata kichwa cha police kwa kuwaonesha mfano?
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,086
  Likes Received: 575
  Trophy Points: 280
  Hakuna hata wa kujitoa muhanga kufa na riafande rimoja?
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 6,141
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Kikwete must Resign!! Nguvu zote za nini hizo.
   
Loading...