Codon

Codon

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
628
93
Habari zenu wana FJ!Ndani yaulingo!Kazi kwenu msiopenda maendeleo yanchi hii kwakumbatia wazembe!Naole wao wanaosema UALIMU,UDAKITARI ni WITO Ili wawalipe mishahara yakinyonyaji!Watu wanashinda na matapishi,damu,hajakubwa zawatu pia mavumbi ya chaki then mnasema WITO!Nyieeeee.......!Tutaonana!
 
Back
Top Bottom