code za USSD

Mateka

Senior Member
May 2, 2011
131
41
jamani wandugu kwa aneyejua kuchapa code za USSD tutafutane napenda kufanya hizi code.
lakini sijapata material yake wala simulation zake.
 
USSD ni language inayotumika na mobile for short sms like kujua salio unabonyeza *102# then unapata feedback
 
kijana USSD ni just kiunganishi but codes nyingi kwaajili ya application zako utaandika katika PHP mi nimefanya application moja katika PHP na USSD umekuja wakati wa kufanya communication btn my hosting server na Clients phone....but simulation zake sina coz nilikuwa natest application yangu katika server ambayo ililkuwa tayari pre configured with a installed USSD gateway
 
Back
Top Bottom