Cocha wa Yanga, Costa Papic kutimua zake !!!

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba, kocha wa timu ya Yanga, bwana Papic ametamka kutoifundisha timu hiyo tena akihojiwa baada ya kuifunga Polisi mabao 3 - 1.

Habari nazifatilia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom