COCACOLA or PEPSI

chukua soda moja ya coka au pepsi halafu mimina kwenye sinki au choo kilichoweka sugu halafu baada ya dakika tano kasugue utaona matokeo yake na hivyo ndivyo inavyofanya mwilini!!!!!
 
habari ndo hiyo watu tunafakamia mavitu bila kujua madhara yake
 
Back
Top Bottom