Coaster 6 zapigwa mawe Kimara mwisho; ni za wapambe wa CCM wakitokea Jangwani

Njama za magamba hizi ili wapate cha kuongea!!!Wameshachelewa ukombozi unakaribia!!!!
 
Kama ni kweli basi ujuwe hao ni wanazi wa chadema waliofanya huo uhalifu tena utakuta ni watu wa Kaskazini. Huko kimara mabondeni ndio waliojazana huko.

Mkuu mie naomba nione hao ni wale ambao hawakutimiziwa malipo waliyotaka sasa wakaona afadhali wayawahi hayo magari maana maategemeo yao hayakutimizwaa na mkutano ukiisha huwezi dai popote. Hao wa mbali pengine walipewa posho ya usumbufu pamoja na kulipiwa nauli
 
UKIPEWa PESA KULA THEN AKIL KUMKICHWA, NJAA KALI, KAZI CNA NIFANYAJE? CHUKUA PESA BUT CHAGUA KIONGOZI ANAEKUFAA.
 
Hizo sio siasa bali ni ujinga. Waliotupa mawe kama ni wafuasi wa upinzani basi ni wahalifu na wahuni wakubwa hao. Wanachafua sifa ya amani waliyonayo wapinzani kwa sasa.
mbona wao ccm wamechoma jana bendera za chadema tena hadharani??? moto moto tu...shenz...
 
mi natafuta mabomu ya bei rahic,
kama kuna m2 anauza,
plz....
I cant wait n mor
 
Kama ni kweli basi ujuwe hao ni wanazi wa chadema waliofanya huo uhalifu tena utakuta ni watu wa Kaskazini. Huko kimara mabondeni ndio waliojazana huko.
Siamini mpaka nione picha ya mabasi yenye bendera za CCM yakiwa yamevunjwa vioo.

Siamini, siamini, siamini!

Wana CCM mnaoshabikia thread hii, mleta mada ameileta kwa ujanja sana, kutaka kuonesha kuwa CCM ilikuwa inaleta watu toka nje ya mji. Na nyie mnaingia kichwa kichwa kudhani mmepata udhaifu wa CDM. (angalieni posts za mleta mada, lakini sample moja hii hapa)

Magamba kazi ipo! Imagine hata kama kuna hizo kura 14850, unaweza ukatuambia unaziattribute vipi hizo kura kwa mnyika? Just like in Mpendazoe's case the fact kwamba kuna kijana alikamatwa na mihuri ya tume; how do you attribute that to Makongoro. Kama huelewi sheria, acha ku-coment, si lazima u-coment kila kitu dogo!
Ningetegemea reaction ingekuwa kupinga kuwa haiwezekani CCM kuleta watu toka Kibaha, Chalinze na Moro kwa ajili ya mkutano wa Jangwani.

Mnaposhabikia thread hii ili kuonesha uovu wa CDM mnathibitisha hili, ambalo si zuri kwa chama tawala chenye dhamana ya kushughulikia maendeleo ya wananchi, na si matumizi mazuri ya pesa ambazo zingetumika kununua vitabu na dawati la mwanao.

Lakini pia inaonesha kutapatapa kisiasa.

Inafaa kutafakari kabla ya kujibu posts, mnajiingiza kwenye mitego ya wazi.
 
Kama ni kweli basi ujuwe hao ni wanazi wa chadema waliofanya huo uhalifu tena utakuta ni watu wa Kaskazini. Huko kimara mabondeni ndio waliojazana huko.
Siamini mpaka nione picha ya mabasi yenye bendera za CCM yakiwa yamevunjwa vioo.

Siamini, siamini, siamini!

Wana CCM mnaoshabikia thread hii, mleta mada ameileta kwa ujanja sana, kutaka kuonesha kuwa CCM ilikuwa inaleta watu toka nje ya mji. Na nyie mnaingia kichwa kichwa, mnathibitisha hili mkidhani mmepata udhaifu wa CDM. (angalieni posts za mleta mada, lakini sample moja hii hapa)

Magamba kazi ipo! Imagine hata kama kuna hizo kura 14850, unaweza ukatuambia unaziattribute vipi hizo kura kwa mnyika? Just like in Mpendazoe's case the fact kwamba kuna kijana alikamatwa na mihuri ya tume; how do you attribute that to Makongoro. Kama huelewi sheria, acha ku-coment, si lazima u-coment kila kitu dogo!
Ningetegemea reaction ingekuwa kupinga kuwa haiwezekani CCM kuleta watu toka Kibaha, Chalinze na Moro kwa ajili ya mkutano wa Jangwani.

Mnaposhabikia thread hii ili kuonesha uovu wa CDM mnathibitisha hili, ambalo si zuri kwa chama tawala chenye dhamana ya kushughulikia maendeleo ya wananchi, na si matumizi mazuri ya pesa ambazo zingetumika kununua vitabu na dawati la mwanao.

Lakini pia inaonesha kutapatapa kisiasa.

Inafaa kutafakari kabla ya kujibu posts, mnajiingiza kwenye mitego ya wazi.
 
CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
BINTI MREMBO LUMUMBA CCM
:confused2:
 
walaniwe wanaokula kodi za wananchi kubeba watu kujaza jangwani.wananchi wamechoka bwana mawe tu mpaka wabadilike na magamba yao.
two wrongs wont make anything right

wezi walaaniwe na wafungwe na wanaopiga mawe raia wenzao pia walaaniwe na wafungwe

huwezi kuhalalisha kuumiza watanzania wenzako kwa kosa la watu tunaowajua
 
Uwongo mtupu kwaiyo hapo kimara ulikua pekeyako uloshuhudia tukio Hilo !?ingekua kunaukweli wowote izo habari zingeshaenea sehemu kubwa ....acha kupata presha we mgambo
 
safi sana ningekuwepo ningerusha japo moja.imeniboa watu wanawatetea wenyewe kazi kuhongwa buku2???haya hizo zitatatua matatizo waliyonayo??aaa bora wangewavunja meno cku ingine wangekataa kusombwa kama kokoto.
ndiyo wakome kushabikia ujinga utu haununuliwi hata kidogo
 
Back
Top Bottom