coastal union ya tz yasajili mchezaji kutoka brazil

jamba ba alikuwa msafisha viatu wa wachezaji wa club canon yaounde yanga wakaingia kichwakichwa na kuonyeshwa tu picha alizopiga na wachezaji wa timu hiyo.nilikuwa nawaonya tu,si unajua hata maximo ni muuza matikiti tu huko porto alegre?

Kabongo Honore, Lino Musombo, Kanu Mbingavanga, Keneth Asamoah, Felix Sunzu etc, magarasa yote hamjayaona ila ameonekana Barbosa tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom