Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
huu utafiti ni ukweli mtupu....kwa kuangalia mikoa hii sifa za uchawi.....
1.kigoma...huu ni mkoa ambao kuna uchawi wa watu kutolewa vivuli,treni ya umeme kuonekana ikipita usiku kule kasulu,ngurukaa
2.RUKWA...huu ni mkoa sifa zake za uchawi ni kule mpanda radi kuuzwa,subwawanga kule mvua kunyesha sehemu moja, wingi wa misukule kuonenekana mitaani
3.shinyanga.....huu mkoa kuna kijiji kinaitwa gamboshi ambao inasemekana ule ni mjii mkuu wa wachawi africa maana huu mji ikifika usiku unakuwa kama magorofa ila mchana poli,pale kahama wazee wenye macho kuuwawa,
4.tanga....huu ni mkoa kuna uchawi wanauita zongo ni maarufu sana tanga,ukikanyaga kifuu kinakwambia nirudishe uliponitoaa halafu kule pangani wazee wengi kuvaa sana msuri inasemekana karibia wote wana mabushaaa
5.bagamoyo.....huu mji usiku kuna vibwengoo huwa vinasumbua sana usiku kule baharini,
6.mbeya........huku wanachunwa ngozi,kiganja cha mkono wako kikiwa na alama ya m ni dili la pesa
7.pemba na unguja.....kule kuna uchawi wa vitabu....
8.tabora.....kule kuna sehemu inaitwa urambo na usoke.....huku kuna fisi watu, halafu yule nyoka anaitwa koboko nyoka wa ajabu ambae pale urambo mjini watu hufanyaga maonesho yake
9.iringaa .....kule ziwa nyasa misukuleee kuonekana.....mchana
10.morogoro......kwenye milima ya ulugulu