cna bahat na wanaume wa jf

Mke mwenza huyu nimeanza nae taratibu afu ndo nilikuwa nakuja huko kwenye hilo suali la anaongeaga nini na mume wa aunt yake? Sie wenyewe ni kaka etu ila tukiwa na shida nae twapitia kwa wifi afu anazifikisha! Huyu GM ni wa kutizamwa kwa third eye aisee!


Nakusubiri usichelewe, unibebee ile body spray yako manake mie nimeishiwa, wanja wa kungu pia njoo nao! Halo halo! Mwanamke urembo babu!

Inahuuuu??? source: Bishanga!



mweeee!
 
Mmmh, huu mwaka utaisha salama kweli.Juzi hapa kaja mtu analalamikia wizi wa wanaume/wapenzi wa watu.Huoni hatari mdogo wangu? Anyway ni-PM nikupe mdogo wangu lakini yeye sio member JF.Me nina wangu.

Hata hivyo napita tu.......hayanihuu (as per waswahili quote).
 
hehe toto Tundu kumbuka methari ya Babu kizuri chajiuza .Hebu weka pose kwanza uone watakavyokuja wenyewe kama nyuki
 
Back
Top Bottom