cna bahat na wanaume wa jf

Asante mke mwenza!
Umesahau kumuambia pia akiwa na issue yoyote aongee na auntie AshaDii, mtoto wa kike anasikilizana nini na mjomba wake toiba sbukhana!
Nakupitia twende kwa wifi, furahi day ishaanza...
Cookie ni wangu
PAW wa King'asti,

waliobaki endelea nao hao wawili hawakuhusu, AshaDii alishakutambulisha kitambo!
 
Asante mke mwenza!
Umesahau kumuambia pia akiwa na issue yoyote aongee na auntie AshaDii, mtoto wa kike anasikilizana nini na mjomba wake toiba sbukhana!
Nakupitia twende kwa wifi, furahi day ishaanza...

mi penda anko.
 
Mke mwenza huyu nimeanza nae taratibu afu ndo nilikuwa nakuja huko kwenye hilo suali la anaongeaga nini na mume wa aunt yake? Sie wenyewe ni kaka etu ila tukiwa na shida nae twapitia kwa wifi afu anazifikisha! Huyu GM ni wa kutizamwa kwa third eye aisee!

Nakusubiri usichelewe, unibebee ile body spray yako manake mie nimeishiwa, wanja wa kungu pia njoo nao! Halo halo! Mwanamke urembo babu!

Inahuuuu??? source: Bishanga!
 
Back
Top Bottom