cna bahat na wanaume wa jf

G Mpoleeee

Senior Member
Feb 9, 2012
153
16
nilpoimgia jf roho yang ilibambwa na memba wa Ukweeeee kuliko wote! Nae ni MTM. Nikajgonga gonga kwake lakin nikatoka kappa kama vile hajawah hata niona. Roho ikaniuma nikapotezea. Alafu nikawa na ka krash kwa mod wa chit chat Cookie, yy cjui hata kama anajua kuna mtu anaitwa GM na kaweka tatoo yake kwenye moyo. Nikija kwa babu Asprin huyo ndio roho yauma kila cku anaahd kunikagua lkn hankagui! aaarrgg. Wanaonpenda hata hawanvutii afadhal hata daz poz na matumbo namfikiria sbb kaniahd M1. Angalau anaensilza ni ankal Kaizer nae ana poz huyo nahsi anty AshaDii atakua tu kamlazmisha kunsikiza mara moja moja. Eti wajamen mm ni mzuri sana na mpole ni wap nakosea?GM
 
wajameni leo ID yang inatumika na Golden Mpoleeee nimempa pw bada ya kumsaka na kumiss mabandko yake.
 
Cookie ni wangu
PAW wa King'asti,

waliobaki endelea nao hao wawili hawakuhusu, AshaDii alishakutambulisha kitambo!
 
endelea kuwa mpoleeee...watakuchangamkia shortly tatizo ID unazo mbili wanashindwa ipi wakuPM
 
Back
Top Bottom