cn raha kabisa...

moulaa

Member
Feb 1, 2011
42
2
Habar zenu???nina modem ya airtel nimeshaiunlock ila nikiweka line ya zantel inakua slow kweli,,, sasa sjui kwanini?? au nifanye nn??
 
Habar zenu???nina modem ya airtel nimeshaiunlock ila nikiweka line ya zantel inakua slow kweli,,, sasa sjui kwanini?? au nifanye nn??
Hiyo Modem yako itakusaidia kwa Airtel au Voda sababu wanatumia mfumo unaofanana. Zantel wanatumia Modem za CDMA ambazo ndizo zenye speed ya kuridhisha
 
aaah!!! ila hata nikiweka line ya tigo inakimbiza knoma

Mkuu Zantel wana aina Mbili ya Data Service Provision , Wana GPRS na wana EVDO (Ambayo ina speed kubwa) sasa ukitumia Moderm ya Airtel ukaweka Line ya zantel unakuwa Connected na GPRS ambayo iko slow sana, so ili ufurahie Zantel nunua Modem ya Zantel yenye EVDO capable
 
Back
Top Bottom