CLUB: Nilivyoepuka aibu na tafrani

Hapa tupo pamoja sana....Mi sintosahau siku moja tumeenda Club tupo watatu tukiwa kwenye dance floor tunacheza nikamkanyaga jamaa mmoja bahati mbaya yupo na demu wake na machalii wengine...Tukazinguana pale mabaunsa wakaja tukaachanishwa jamaa akaniambia kama vp twende nje tukafundishane adabu nikamwambia twende boya tu wewe...Duh jamaa kumbe ni bondia bwana tukapiga mkono hapo nje hakuna mtu anaamua...watu wametuzunguka wameeka round, kama dk 10 za kwanza jamaa nikaona nammudu kabisa baada ya dk 10 ile nimeanza kuchoka jamaa akafungulia ngumi alizipiga hadi nikasema hapa ntakufa..nampa 1 ananipa 3 safi..Nikaona isiwe tabu nikamwambia asee jomba wacha ujinga utakuja niua nanii.. watu wakanicheka mno jamaa wakaja wakaamua sababu jamaa ni bondia akanifuata akaniambia hata ivyo umejitahidi twende zetu ndani...Sikuweza rudi Club tena nimeiva mwili mzima.. Toka siku hiyo nilipunguza sana ugomvi ugomvi.
Haha wewe ni chalii ya R bila shaka
 
Yawezekana uliepusha shari kutokana na busara ulizonazo au huyo jamaa mwingine alikuwa kipande sana. Anyway,hongera sana mkuu.
 
sijadharau kazi wala kipato! nimekueleza ukweli halisi! kama week end moja nilikuwa natumia laki tatu zinaisha na mshahara wa mwalimu hauzidi laki tano,ataishi vipi? hujui kuwa walimu Tanzania wanalipwa mishahara kidogo?! najua ninachokisema.fixed income earner maisha ya starehe kama hizo vigumu.kuzimudu labda uishi nje ya kipato.
Mkuu kumbe majibu unayo mwenyewe ila unajisahaulisha. Kwani huyo mwalimu hawezi jiongeza na miradi mingine? Hukusikia habari ya mwalimu wa sekondari kukamtwa na viroba vya Tsh 70M kule Tabora? Na yeye ndio alikuwa msambazaji mkubwa Tabora yote? Usidharau watu kwa kazi zao. Wengine ile ni sehemu ya kuzugia tu lakini wanafanya yao makubwa nje ya kazi.
 
Hapa tupo pamoja sana....Mi sintosahau siku moja tumeenda Club tupo watatu tukiwa kwenye dance floor tunacheza nikamkanyaga jamaa mmoja bahati mbaya yupo na demu wake na machalii wengine...Tukazinguana pale mabaunsa wakaja tukaachanishwa jamaa akaniambia kama vp twende nje tukafundishane adabu nikamwambia twende boya tu wewe...Duh jamaa kumbe ni bondia bwana tukapiga mkono hapo nje hakuna mtu anaamua...watu wametuzunguka wameeka round, kama dk 10 za kwanza jamaa nikaona nammudu kabisa baada ya dk 10 ile nimeanza kuchoka jamaa akafungulia ngumi alizipiga hadi nikasema hapa ntakufa..nampa 1 ananipa 3 safi..Nikaona isiwe tabu nikamwambia asee jomba wacha ujinga utakuja niua nanii.. watu wakanicheka mno jamaa wakaja wakaamua sababu jamaa ni bondia akanifuata akaniambia hata ivyo umejitahidi twende zetu ndani...Sikuweza rudi Club tena nimeiva mwili mzima.. Toka siku hiyo nilipunguza sana ugomvi ugomvi.
Pole jamani, nimeogopa aisee
 
Mkuu kumbe majibu unayo mwenyewe ila unajisahaulisha. Kwani huyo mwalimu hawezi jiongeza na miradi mingine? Hukusikia habari ya mwalimu wa sekondari kukamtwa na viroba vya Tsh 70M kule Tabora? Na yeye ndio alikuwa msambazaji mkubwa Tabora yote? Usidharau watu kwa kazi zao. Wengine ile ni sehemu ya kuzugia tu lakini wanafanya yao makubwa nje ya kazi.
ukiongeza elimu utaelewa kwanini nilisema hivyo.uliyemtaja sio representative sample ya waalimu wa Tanzania
 
Back
Top Bottom