Ipo ndani ya Meridian Hotel na show inaanza saa 7 usiku.
Nimesikia tangazoo kuwa kanga moja leo wako klub maasai,ila sikumbuki kama ni knondoni au m'nyamala.nisaidieni maana nawatafuta hawa viumbe nimeona picha zao youtube kuna kiutafiti fulani nataka nifanye.nielekezeni wakuu
Siishi huko lakini if its happening in Dar chances are i would know about it -am a night owl.mzee wa maeneo nini?acha leo nijongee kwani mcheza kwao.......
Hamna cha utafiti hapo atayarishe vijihela vya kumtunza bonge na awe na totoz wa baada ya show ambako ndio utafiti utakapofanyika.Mkuu ni kapi hako kautafiti tuelezane mkuu labda tunaweza tukachangia points
Labda anatokea wizara ya utamaduni,vijana na michezo,kitengo cha sanaa ya majukwaani!Maana nimesikia wanataka wawafungue hawa wacheza u....hi.hapo hakuna utamaduni kabisa!Siishi huko lakini if its happening in Dar chances are i would know about it -am a night owl.
Hamna cha utafiti hapo atayarishe vijihela vya kumtunza bonge na awe na totoz wa baada ya show ambako ndio utafiti utakapofanyika.
Hii ni fikra potofu hawachezi uchi,umewaona wacheza show wa bendi zetu ? hebu tembelea Nairobi uone wacheza uchi club(srip tease,lap dance).Labda anatokea wizara ya utamaduni,vijana na michezo,kitengo cha sanaa ya majukwaani!Maana nimesikia wanataka wawafungue hawa wacheza u....hi.hapo hakuna utamaduni kabisa!
Siishi huko lakini if its happening in Dar chances are i would know about it -am a night owl.
Hamna cha utafiti hapo atayarishe vijihela vya kumtunza bonge na awe na totoz wa baada ya show ambako ndio utafiti utakapofanyika.