Club Billicanas na Security Camera?za Nini au kuna michezo ya kamari humo ndani?

Nyani Ngabu,

Ushamba wangu umetoka wapi..?ina maana kila mtu akiuliza swali ni Mshamba?au ndiyo kasumba yetu watanzanzania...Ndivyo tulivyo?

Ushamba wako unatokana na kuuliza swali lako "club billicanas na security camera za nini?"....Umeshasema security camera, halafu unauliza ni za nini tena? Huoni umeshajijibu swali lako mwenyewe...?
 
Ni nzuri kufanya renovation ya hali juu. lakini kama debe zina walakini ukilinganisha na miaka ya Mbowe basi wengi tutaenda kupaangalia tu na kutorudi tena.
 
Kazi imesimama ile jamani tuache majungu...kama mabadiliko katika kumbi za starehe kweli jamaa ameyaleta na kawekeza!!

Unadhani Kinje anaweza funga club yake ya maisha mwaka mzima kuleta mabadiliko kama yale...!!afu club ipo shallow kiingilio ati buku kumi...kama siyo wizi ni nini!!!

Big up Bills...kazi nzuri na hivyo ndivyo wajasiliamali wanapaswa wawe...kwenda na muda!now wenye viji-club vyao lazima wafunge mwaka huu....
 
Wizi mtupu!
 
Back
Top Bottom