Clouds wafanya utapeli!!

Kwa hizi redi unaonekana hauhusiki kabisa na kitendo walichofanya clouds kama kipo kweli! Nakushangaa pilipili usiyoila yakuwashia nini? Waache wanaoona hawajatendewa haki walalamike wenyewe. Siyo wewe third party!!

Hivi siyo wewe ulikuwa ukishabikia vyama vingine vya upinzani kwenda pamoja na CHADEMA kumuona JK, just thinking out loud!!!!!!!
 
Kwa hizi redi unaonekana hauhusiki kabisa na kitendo walichofanya clouds kama kipo kweli! Nakushangaa pilipili usiyoila yakuwashia nini? Waache wanaoona hawajatendewa haki walalamike wenyewe. Siyo wewe third party!!

Yeye si miongoni ya waliokuwepo
 
Heeeh! Kwani clouds nayo ni ya ccm?
Kwa hizi redi unaonekana hauhusiki kabisa na kitendo walichofanya clouds kama kipo kweli! Nakushangaa pilipili usiyoila yakuwashia nini? Waache wanaoona hawajatendewa haki walalamike wenyewe. Siyo wewe third party!!
 
Clous mwisho wenu unakuja kama wa magamba soon kwani hamtaendelea kuvumilika
 
:poawaache watapeliwe...waliona uzalendo ni kuwatosa wazawa VINEGA na kwenda kwa DMX? tunawadharau wazawa na kuona wasanii wa nje ndo bora and then tunalalamika wasanii wa ndani hawaendelei! :A S-coffee:
 
Back
Top Bottom