Clouds TV yamzalilisha binti wa miaka 17

Suzie

JF-Expert Member
May 7, 2010
1,259
409
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.

Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa
 
exactly uko right
wamem haribia life binti wa watu
hataweza leo kuigiza tena filam
 
...Walipaswa kuficha uso wa huyo Binti mdogo...Clouds bana...wao ni watu wa Mingo na Bingo...hawajali kama wakati wa kusaka Bingo kwenye mingo huwa wanaharibu!

Tatizo wamezoea kuhoji watu wenye mikasa kama hiyo katika kipindi cha Njia Panda...wakasahau kuwa ukihoji watu na kuonyesha kwenye TV, picha huwa zinaonekana....
 
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake...

Binti alikuwa akipiga makelele na kufurukuta wakati wa tenso? just curious kujua umejuaje kwamba binti alikuwa analazimishwa ku-do
 
Hawa jamaa na radio yao hawana maadili ni kukurupuka tu

Hujakosea yaani nilijua itakuwa ya kawaida lakini alipofikia kusema nika..... Inagawa na yenyewe nikaona mbona haipinch kivile ghafla Zama kamuuliza kishabiki na watu wangapi nayeye bila hiyana akajibu na watu kama 20 khaaaa. Nikamalizika zaidi alipomalizia yule wa kwanza ni muhathirika, kwakweli hii ni zaidi ya maumivu kwangu maana nilisikia tumbo kunikata na kichwa kugonga
 
...Walipaswa kuficha uso wa huyo Binti mdogo...Clouds bana...wao ni watu wa Mingo na Bingo...hawajali kama wakati wa kusaka Bingo kwenye mingo huwa wanaharibu!

Tatizo wamezoea kuhoji watu wenye mikasa kama hiyo katika kipindi cha Njia Panda...wakasahau kuwa ukihoji watu na kuonyesha kwenye TV, picha huwa zinaonekana....

Take it from me hawajasahau kabisa bali wameona sifa kuonyesha sura yake
 
Binti alikuwa akipiga makelele na kufurukuta wakati wa tenso? just curious kujua umejuaje kwamba binti alikuwa analazimishwa ku-do

Binti wa miaka 17 ni minor, hata kama alikuwa anafurahia ni kwamba hajui impact yake kwa wakati ujao. Pia hujaelewa yaani kum-reveal mtoto mdogo identity yake hata kama ni kwa idhini yake haimaanishi una haki tatizo yeye hajui outcome yake. Sasa subiri mtiti wake atakapopita mitaani au akifanikiwa kwenye hiyo industry akawa maarufu kama hicho kitu hakitamsumbua milele
 
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.

Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa

Kama wamefanya hivyo jamani wanaharakati embu mnusuruni huyo binti apate haki zake, maana wamemdhalilisha kwa udhaifu wake. Hizi media nyingine nazo zinabidi ziwe zinafanyika semina za kuwakumbusha hasa hawa wenye talk shows.

Mbona last week wanawake live waliweka clip ya mtoto na wakamficha sura ingawa na wao walifanya makosa maana hata hao wazazi wake hawakutakiwa kuonyeshwa. Sijui kwanini bongo tunavamia fani kwa pupa....... Jamani shule, shule, shule
 
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.

Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa

unategemea professionalism clouds?
 
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.

Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa

exactly uko right
wamem haribia life binti wa watu
hataweza leo kuigiza tena filam

Yaani sijui nani anaongoza urushaji wa vipindi kwenye hii TV. I guess too much-know inawapelekapeleka

mpendwa Suzie na boss hawa clouds sasa hivi imekuwa too much. jana wakati bajeti ya wizara yao inapitishwa maadili ya kazi yao yaliongelewa sana sijui kama waliskia manake nao hutenda kama wanawazimu vile.

kimsingi ni udhalilishaji tena wa maisha kwa binti husika inamaana hata shule ama kuwa na maishsa yake wamesa muharibia. Lakini nafikir sasa tufike mahali hata sisi wenyewe tuwapigie kelele. kuna siku cluods redio watu walikuwa wanatoa ushuhuda eti wa tabia mbaya ambazo wanazo just imagine kijana kwenye redio akakiri ninatabia ya kufanya mapenzi n amjiwe ama mbwa wetu na huwa nafurah sana kiasi kwamba siwez kuacha tena akazidi kusema kama huambini nenda mtoni tafuta jiwe laini ufanye nalo uone linavyonoga. nilikasirika kidogo nipasue redio yangu. ruge unaharibu badilika sasa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wanaojua sheria, hakuna uwezekano wa huyu binti kuwashtaki hawa, kwa kumdhalilisha? Haiwezekani matatizo ya binti huyo mdogo wayatumie kuvutia watwazamaji.
 
Back
Top Bottom