Clouds TV now on Satelite but by MPEG 4 Receivers

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wakuu,napenda kuwajuza rasmi kuwa wale wasio tumia vingamuzi vya TING au Star times bali wanatumia dish ni kuwa Clouds TV wameingia kunako satelite rasmi.lakini wako WEtsal 4 kwa receiver ya MPEG 4 kwani hizi DVB recevers hazikubali .Nimejaribu nimeshndwa kabisa.

Lakini sasa wenye cable services wanaipata safi sana
 
Kwa hyo sie wenye receiver MPEG2 hatuwezi kuakisesi hyo TV?make nimetrace lakini haionekani
 
Tupatie frequency zake na hiyo satellite iko degree ngapi mkuu?

The EIRP values are for Tanzania, United Republic of
 
Clouds Tv frequency - 12284 and symbol rate ni - 27500 position ni Horizontal but nadhani Vertical ndo inakubali
 
nafikiria kutupa mpeg 2 yangu cz namiss channel nyingi sana ambazo ni fta
 
Pia wapo Zuku na wanaoneka vizuri sana ni laivu bila chenga,muonekano wake ni tofauti kabisa na walivyokuwa StarTime
 
DVB ni Digital Video Broadcasting hivyo Mpeg4 na Mpeg2 zote ni DVB ila ilitosha kusema kuwa kama inapatika ktk mpeg4 kwa maana receiver zote ni DVB isipokua mfumo ndio tofauti.
 
Jamani ipo degree ngapi? Maana tumechoka na haya malipo yao.

Sent from Burton Mr Arsenal
 
Habari za kazi, pole sana kwa uchovu. Nimenunua dish la eurostar foot 8 ninaomba unisaidie ili niweze kiona clouds tv kwenye dish langu,
namba zangu ni 0762092064
estomih kaaya
 
Yaani hapo ni bora watuweke katika dstv tu kama ilivo kwa startv na tbc, kule wale jamaa wasauzi hawana utani na quality of pictures. Cjui lini watatuwekea? Na usipokuwa makini unaweza jaza madish juu ya paa na usipate channel zote
 
wakuu,napenda kuwajuza rasmi kuwa wale wasio tumia vingamuzi vya ting au star times bali wanatumia dish ni kuwa clouds tv wameingia kunako satelite rasmi.lakini wako wetsal 4 kwa receiver ya mpeg 4 kwani hizi dvb recevers hazikubali .nimejaribu nimeshndwa kabisa.

Lakini sasa wenye cable services wanaipata safi sana
ingiza hii freq 12273 symbol rate 11200 h
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom