CLOUDS TV na porojo za W'SEPETU!

munisijo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,107
916
Katika pitapita zangu,jana nlkutana na kipindi ndani ya Clouds TV ambapo Wema alikua ndie msanii aliyepewa nafasi ya kuonekana!
Tofauti na lengo kuu, la kpnd la kuelimisha, nlchokiona ni majigambo ya kipumbavu mbele ya watanzania wengi hoehae, et anajisifia 'utajiri' na kwa kushirikiana na mamaye wameona hiyo ndio njia sahihi ya kuwajibu wabaya wao bila kukumbuka kwamba kauli zao zinaweza kuwakeza watanzania wengi wanaoishi chini ya dola 1,wanaokaa chn madarasani na zaidi wale wanaolala usiku matumbo meupe kwa mlo mmoja tu wa mchana!
Sikatai, kuwa tajir si kitu kibaya lakn unapojisfia utajr kwa kutaja tarakm et MIL 400, ana uhakika TRA wakija kudai risiti na kukagua ulipaji kodi katika bidhaa na mihamalala yote aliyofanya mambo yatakua sawa!Ana fahamu kuwa kwa utajr wake huo wa MIL 400 anaodai anao, serikali inatakiwa iwe imepata kias gan cha kodi?!
Anyway, ngoja nimpe siku, naamini ukweli utajulikana ila kwa ushauri wangu kwa WEMA , muda huu ungekua mzur kuanza kulipa kodi, kufikia jinsi ya kurudisha shukran kwa watanzania maskn kama vile watoto yatima na wajane badala ya kupoteza muda kujisifia kwenye TV!
Ni mtazamo binafs, nawakilisha!
 
jamani wapo wengi tuuuuuuuu ambao wanakwepa kodi, na misamaha kibao ya kodi serikali inatoa kwasababu za kipumbavu tu! hebu muacheni kwa nafasi yake na yeye aenjoy utanzania wake chini ya chama cha machangu! ni mtazamo wangu tu!
 
dah!!huyu anatakaa wajomba manyangau wa mtokee wa kware kila kitu,watu wamechoka mbaya hata account hawajui matumizi yake,nyumba mbavu za mbwa,chumba kimoja anapozi baba mamaa na watoto wake wawili,chumba kimetenganishwa na pazia.amakweli tembea uone.
 
ninawasiwasi kama kweli hizo pesa ni kwa jasho lake yeye, kafanya nini kumpatia pesa yooote hiyo??? 400Mil??? kwa umiss tu jiulize??????????????????
 
Ah! Nyumba kanunuliwa na yule jamaa wa DELMONTE hata asiwasumbue, tena sio kanunuliwa, kapewa hifadhi ya muda ili jamaa agonge at zero cost ila akichuja kama kawaida anamsepetu fasta. Mil 400 kwa kuuza nyuchi? Sio rahisi kinamna hiyo! Yule wa BSS mwenyewe alikaa na bosi wa IPP kwa muda mrefu sana ndio akaja kuambulia studio ile akajiendeza ndo sasa ametoka! Aendelee kukitembeza sana na aendelee kuambatana na kuwadi mama yake! Kweli ukiangalia mama wema na mama lulu ndo maana watoto wao nao vimeo!
 
ninawasiwasi kama kweli hizo pesa ni kwa jasho lake yeye, kafanya nini kumpatia pesa yooote hiyo??? 400Mil??? kwa umiss tu jiulize??????????????????

Jasho kalitoa unadhani kuchokonolewa kisolokupwinyo na mibaba tofauti kila siku mzaha? Wakiwezeshwa hujui kuwa huwa wanaweza?
 
ACHENI USHAMBA MAMBO kama yale yapo sana angalieni E! mtaona wasanii kuonyesha maisha yao, nyumba yake etc hapo mimi sioni tatizo...

Swala la pili kama nyumba ni yake au sio yake hiyo atajijua mwenyewe na Muumba wake...!!!
 
Jasho kalitoa unadhani kuchokonolewa kisolokupwinyo na mibaba tofauti kila siku mzaha? Wakiwezeshwa hujui kuwa huwa wanaweza?

Wenye wivu utawajua tu, haweshi kusimamia kucha kuchunguza ya wenzao, mishipa ya shingo imewaparama ka nini!! Akikosa mumcheke, akipata mumzulie sababu mradi tu roho zenu ziridhike.....khaa!!
 
Katika pitapita zangu,jana nlkutana na kipindi ndani ya Clouds TV ambapo Wema alikua ndie msanii aliyepewa nafasi ya kuonekana!
Tofauti na lengo kuu, la kpnd la kuelimisha, nlchokiona ni majigambo ya kipumbavu mbele ya watanzania wengi hoehae, et anajisifia 'utajiri' na kwa kushirikiana na mamaye wameona hiyo ndio njia sahihi ya kuwajibu wabaya wao bila kukumbuka kwamba kauli zao zinaweza kuwakeza watanzania wengi wanaoishi chini ya dola 1,wanaokaa chn madarasani na zaidi wale wanaolala usiku matumbo meupe kwa mlo mmoja tu wa mchana!
Sikatai, kuwa tajir si kitu kibaya lakn unapojisfia utajr kwa kutaja tarakm et MIL 400, ana uhakika TRA wakija kudai risiti na kukagua ulipaji kodi katika bidhaa na mihamalala yote aliyofanya mambo yatakua sawa!Ana fahamu kuwa kwa utajr wake huo wa MIL 400 anaodai anao, serikali inatakiwa iwe imepata kias gan cha kodi?!
Anyway, ngoja nimpe siku, naamini ukweli utajulikana ila kwa ushauri wangu kwa WEMA , muda huu ungekua mzur kuanza kulipa kodi, kufikia jinsi ya kurudisha shukran kwa watanzania maskn kama vile watoto yatima na wajane badala ya kupoteza muda kujisifia kwenye TV!
Ni mtazamo binafs, nawakilisha!

Badala ukapige kelele huko kwenye minority wanaoconsume jasho la raia pasipo kutekeleza majukumu yao! Again nenda kule ambako posho and other benefits, wanagawiana kama njugu shambani wakimsahau huyo mwananchi unaemzungumzia kuishi under one dollar! Btw, unaweza kudhani kuwa wema kapoteza muda wake kufanya kile ambacho wewe unakiita kujisifia, bali nakupa pole wewe uliyepoteza muda wako kuusikiliza huo unaodai kuwa ni porojo na upumbavu.....hatimae ukaukariri mpaka kuuleta hapa jamvini! Na kama unamachungu sana, nenda kamkabe koo Lowasa na kina Jairo na mapapa wenzao warudishe hilo jasho la waishio chini ya dola moja....Period!!!
 
Bidada hii hazina ya yenye mantiki kumbe siku zote umeichimbia huitoi kwa nini ?
I lyk your comments.
 
Corporate Social Respomsibility...katika dunia ya sasa, si hiari!
 
Ah! Nyumba kanunuliwa na yule jamaa wa DELMONTE hata asiwasumbue, tena sio kanunuliwa, kapewa hifadhi ya muda ili jamaa agonge at zero cost ila akichuja kama kawaida anamsepetu fasta. Mil 400 kwa kuuza nyuchi? Sio rahisi kinamna hiyo!
....
Unamaanisha Rupia, mmiliki wa Del Monte??
 
ACHENI USHAMBA MAMBO kama yale yapo sana angalieni E! mtaona wasanii kuonyesha maisha yao, nyumba yake etc hapo mimi sioni tatizo...

Swala la pili kama nyumba ni yake au sio yake hiyo atajijua mwenyewe na Muumba wake...!!!
tunaonyeshwa magari ya kina Rooney, Ronaldo, Jay Z, P Diddy ! Kwa Wema watu wame mind ! Daaaah, the World is not fair !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom