Clouds Tv kurusha LIVE wasanii wa kibongo halafu Rick Ross wanakata

Wangeionyesha ningechukua kama ilivyo na kuichambua uoni jinsi shetani anavyowadanganya kwa kutumia secrete signs and symbols akiwa jukwaani,tafuta video zilizochambuliwa you tubu.hapa kuna siri ya kutokuinyesha ambayo kubwa ni hiyo nothing else
 
Mimi niko na clip yake watu walikuwa wanapiga zile sign za kina jigga hahahah

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wangeionyesha ningechukua kama ilivyo na kuichambua uoni jinsi shetani anavyowadanganya kwa kutumia secrete signs and symbols akiwa jukwaani,tafuta video zilizochambuliwa you tubu.hapa kuna siri ya kutokuinyesha ambayo kubwa ni hiyo nothing else

Ukitaka kukihusisha kila kitu na shetani au Mungu kwa namna yeyote ile huwezi kushindwa, mwisho wa siku inabaki ni mtizamo na imani ya mtu
 
Aisee hivi wewe una akili timamu kweli? yaani mtu imuume kutohudhuria show ya Rick Ross wakati CD zipo? ni kwa nini mtu alipie kwenda kusikiliza Cd wakati hata nyumbani unaweza kusikiliza?

Zipo show ambazo ukikosa ni kweli utaumia mfano show za kiwango cha Michael Jackson, Wenge Musica BCBG, Koffi Olomide, Fally Ipupa and likes. na siyo show za kwenda kusikiliza Cd, mtu makini anataka Live band.

Wewe ndo ujiulize kama una akili timamu. Jiulize kama watu wangekuwa wanasikiliza cd nyumbani na kuangalia video za wasanii wanaridhika basi hizi show za fiesta zisinge kuwa zinapata watu. Mziki wa live performance wa fiesta ni mbovu lakini still watu wanaenda.
Kaa chini tafakari ujue kuwa watu wanataka zaidi kitu reality ndiyo maana thou mziki wa live performance ni mbaya lakini watu wanaenjoy kumwona msanii akiperform live pale hata siku hizi ndiyo maana reality shows kwenye TV zinabamba people want rality.
Narudi kwa rick ross. Watu walikuwa hawana hata dream ya kumuona live kwenye stage, so sikwenda na wala sidhani kama kafanya jambo lolote la ajabu ila kile kitendo cha yeye kuwepo live on stage akitingisha kitambi chake kinatosha kumfanya mtanzania mpenzi wa mziki kutoa elfu 20 kwenda kumwangalia na amabaye hakwenda kutokana na sababu za kiuchumi au nyingine kuumia kwanini hakwenda. Ni sawa na mpira tu kwanini uende uwanjani kuangalia mpira wakati kwenye TV waoneshwa?
Usitake kile upendacho wewe na kukiona cha mana kipendwe na kila mtu.
Mfano mimi si mpenzi wa miziki ya dance hata akija koffi olomide siwezi kwenda kuangalia lakini mshushe lil wayne nitaenda. So ni mapenzi binafsi unaweza wewe muona ross hana lolote lakini nina hakika kuna watu wametoka mkoani kujahudhuria show yake.
 
wenzetu wanaenda na mikataba inayoeleweka ukionyesha show yake live kwenye TV unamwongezea mpunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom