Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,374
Mtangazaji Hassan Ngoma aliyekuja kuziba nafasi ya Hudson Kamoga katika kipindi cha Clouds 360 baada ya yule mwingine kuondolewa anaonekana kutoimudu nafasi vema kutokana na hoja zake wakati wa kujadili habari za magazetini kuwa zenye uelewa finyu ama potofu.
Kwa mfano leo nimeona akizungumzia zoezi la uhakiki wa vyeti huku yeye kama anapotisha kuwa uhakiki utazame performance na sio vyeti jambo ambalo ni kinyume na zoezi na sheria kuwa mtu upate hiyo kazi kwa vyeti halali na si vinginevyo.
Tukitazama performance tu basi tunahalalisha makosa hayo ya forgery
Hii ni kama kufurahia safaka za muumini aliyezipata kwa njia chafu kama mauaji wizi n.k. Clouds hapo mmelamba ile karata maarufu iitwayo GARASA maana naona naye anaongea kwa upofu kama vile nae atapata ukurugenzi.
Bora hicho kiti cha tatu wawe wanakalia wageni waalikwa na na watangazaji wa column za sports. Huyo Dada na Chalii wake wanatosha kabisa kama amekosekana mtu mwenye weledi wa kuchambua habari.