Elections 2010 Clouds mnajiandaaje kupokea ushindi wa Mr. II (Sugu) ?

wanajipendekeza vibaya kwa chama cha madhalimu na mafisadi, ambacho siku zao zinahesabika ktk dunia hii ya Tanzania.
 
Yani mimi nimeshawapiga chini hawa watu, watatangaza matangazo ya CCM miaka yote ijayo yote mpaka uchaguzi ujao tena......
wao na Habari Leo gazeti- nimesema sitaki kuliona ofisini kwangu kabisaaaaaa
Kama wanauwezo wa kutuadaa namna hiyo kwa ajili ya mshiko.......... Credibility zao ni zerrrrrrrrrrroo
 
wATAJIBEBA WAZEE WA KUJIKOMBA,YANI WANAJIKOMBA MPAKA WANATIA HURUMA WAKO KINAFIKI ZAIDI,POOR CLOUDS FM HAMNA JIPYA
 
suguuuu umewachapa clouds fm bakora za macho,
watachonga barabara yako mwaka huu....
 
Kibonde cjui atajificha wapi mbele ya mr 2(mh sugu).maana alikuwa anachonga sana
 
Hongera Sugu. Kila la kheri kwenye fani yako mpya, although tutakumis jukwaani.

Tuache ushabiki. Sugu has no clue what to do as a mbunge. Dude has to learn fast. It will be interestiiiiiing. He is incumbent now. We are watching. And expecting a lot from you.

Bora hata Sugu, Godbless Lema ndio even worse. Huyu jamaa pamoja na utapeli wake, mjengoni ataenda kufanya nini? Seriously? Watu wamempiga chini Dr. Buriani ili kumuweka Lema. Hizi siasa hizi.
 
Hureeeeeeeeee, hongera sana Mr. II a.k.a Sugu, umewakimbiza vibaaaaya mkubwa, UNATISHA. Tunatarajia uwakilishi makini mjengoni. Mungu akuongoze.
 
Hongera Sugu. Kila la kheri kwenye fani yako mpya, although tutakumis jukwaani.

Tuache ushabiki. Sugu has no clue what to do as a mbunge. Dude has to learn fast. It will be interestiiiiiing. He is incumbent now. We are watching. And expecting a lot from you.

Bora hata Sugu, Godbless Lema ndio even worse. Huyu jamaa pamoja na utapeli wake, mjengoni ataenda kufanya nini? Seriously? Watu wamempiga chini Dr. Buriani ili kumuweka Lema. Hizi siasa hizi.
Mkuu tumechoka na hiki CHAMA CHA MICHAKACHUAJI (CCM). INGEKUWA AMRI YANGU NINGEKIFUTIA HATA USAJILI MAANA KIMEGEUKA NA KUWA CHAMA CHA WAKOLONI WANOTUKANDAMIZA.

AKSANTE SLAA KWA KUWAAMSHA WATANZANIA, MAANA BILA JUHUDI ZAKO TUNGEKUWA BADO HATUJA MJUA MCHAWI WETU.
PIA AKSANTE KWA KULINDA MIPESA YETU, MAANA KIPINDI CHA UCHAGUZI, NI KIPINDI CHA MAVUNO KWA MICHAKACHUAJI.
 
Nadhani hawa watangazaji wa Clouds baadhi yao kuna mgando mkali sana vichwani mwao ambao unatakiwa kuondolewa kwa maji ya betri! Hivi wanashindwa kusoma alama za nyakati, na hao ni nani kuwaambia wana mbeya mgombea yupi anafaa kuchaguliwa, hawa jamaa vipi, au wanadhani kuwa na mike kuna wapa hao uhuru wa kuongea chochote hata kama ni uharo! Nadhani sasa wanaelekea kuapauka sio kufulia tena
 
Hongera Sugu. Kila la kheri kwenye fani yako mpya, although tutakumis jukwaani.

Tuache ushabiki. Sugu has no clue what to do as a mbunge. Dude has to learn fast. It will be interestiiiiiing. He is incumbent now. We are watching. And expecting a lot from you.

Bora hata Sugu, Godbless Lema ndio even worse. Huyu jamaa pamoja na utapeli wake, mjengoni ataenda kufanya nini? Seriously? Watu wamempiga chini Dr. Buriani ili kumuweka Lema. Hizi siasa hizi.

Nani aliyezaliwa na 'tag' ya upolitishani? Watajifunzia humo humo mjengoni. Wangapi wa CCM wanaolala usingizi mle na tunawaona?
 
Hao clouds wameshachakachuliwa,kujikomba mbele zaidi.Halafu wanajifanya wanajua sana,kuonyesha kuegemea chama cha siasa katika biashara ni kosa kubwa sana hawajui wala hawalioni kwa sababu wanabwabwaja bila kusoma na kuchunguza mambo kwa kina.Ushabiki wenu wa ccm mpaka sasa umeshawaathiri mmepata wapinzani mtapoteza wateja nfikiri comment za wanaJF mnazipata,hata hivyo msihifu ssiem watawachakachulia muendelee kuwepo mjini.
 
Hongera Sugu. Kila la kheri kwenye fani yako mpya, although tutakumis jukwaani.

Tuache ushabiki. Sugu has no clue what to do as a mbunge. Dude has to learn fast. It will be interestiiiiiing. He is incumbent now. We are watching. And expecting a lot from you.

Bora hata Sugu, Godbless Lema ndio even worse. Huyu jamaa pamoja na utapeli wake, mjengoni ataenda kufanya nini? Seriously? Watu wamempiga chini Dr. Buriani ili kumuweka Lema. Hizi siasa hizi.

Una hakika na craposis yako hii? JK alikuwa na clue gani ya kuwa rais? Amefikisha wapi Tanzania na chama chake CCM? Get your facts right before kuja kumwaga upupu hapa
 
Back
Top Bottom