Clouds Media group wametoka mbaaali

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
2nlfmzm.jpg

JOSEPH KUSSAGA(kushoto) na RUGE MUTAHABA (kulia) (wadogooo) wakiwa na DJ MIND MOTION (katikati) wakati huo alikuwa ni NUMBER ONE DJ wa SAN FRANSISCO, hapo ilikuwa ni MAREKANI mwaka 1998.

rko3r8.jpg

Kila kwenye mafanikio kuna mwanzo wake.. Focus is everything in life.. hapo bosi wa CLOUDS JOSEPH KUSSAGA akiwa mitamboni.. ulikuwa kama ni mwanzo tu wa safari ambao ndio umesababisha CLOUDS unayoiskia sasahivi.

33l2d5l.jpg

Kutoka kushoto JOSEPH KUSSAGA (mwenye shati la blue), BONNY LUV, wadada wawili ambao majina yao sikufanikiwa kuyapata, RUGE MUTAHABA mwenye shati ya brown na kwa huko juu kutoka kushoto ni DAUDI LEMBUYA na OTHMAN NJAIDI.

rhtsab.jpg

Vichwa vilivyoifanya Clouds ifike hapa ilipo.. RUGE MUTAHABA(katikati) na JOSEPH KUSSAGA (kulia).. wakiwa na Dj Mind Motion the number ONE Dj wa enzi hizo huko San fransisco.

Penye nia pana njia... Kutoka Disco la kawaida mpaka kumiliki Radio ambayo ni TALK OF THE TOWN and THE HOTTEST RADIO STATION in Tanzania CLOUDS FM, CLOUDS TV, CHOICE FM, COCONUT FM -Zanzibar, PRIME TIME PROMOTIONS pamoja na kutoa MCHANGO mkubwa sana kwenye Entertainment industry ya Tanzania na mafanikio mengine mengi.

HOngera zenu wazee wa mujini
 
Safi ila nao waache uizi ni wezi sana wa kazi za wasanii maelezo zaidi uliza underground yeyote au mr Sugu ana habari zao, au sikiliza CD ambazo zinasamabazwa mtaani hivi sasa zinazoelezea machafu yao. Ni opportunist kupita maelezo
A%20S-alert1.gif
A%20S-alert1.gif
 
Hongera kwao, nadhani tuna kitu cha kujifunza, kama kuna mahali wanakosea, tuwakumbushe wajirekebishe !
 
Kati ya ruge na joseph kusaga ni nani mmiliki wa clouds media group
 
2nlfmzm.jpg

JOSEPH KUSSAGA(kushoto) na RUGE MUTAHABA (kulia) (wadogooo) wakiwa na DJ MIND MOTION (katikati) wakati huo alikuwa ni NUMBER ONE DJ wa SAN FRANSISCO, hapo ilikuwa ni MAREKANI mwaka 1998.

rko3r8.jpg

Kila kwenye mafanikio kuna mwanzo wake.. Focus is everything in life.. hapo bosi wa CLOUDS JOSEPH KUSSAGA akiwa mitamboni.. ulikuwa kama ni mwanzo tu wa safari ambao ndio umesababisha CLOUDS unayoiskia sasahivi.

33l2d5l.jpg

Kutoka kushoto JOSEPH KUSSAGA (mwenye shati la blue), BONNY LUV, wadada wawili ambao majina yao sikufanikiwa kuyapata, RUGE MUTAHABA mwenye shati ya brown na kwa huko juu kutoka kushoto ni DAUDI LEMBUYA na OTHMAN NJAIDI.

rhtsab.jpg

Vichwa vilivyoifanya Clouds ifike hapa ilipo.. RUGE MUTAHABA(katikati) na JOSEPH KUSSAGA (kulia).. wakiwa na Dj Mind Motion the number ONE Dj wa enzi hizo huko San fransisco.

Penye nia pana njia... Kutoka Disco la kawaida mpaka kumiliki Radio ambayo ni TALK OF THE TOWN and THE HOTTEST RADIO STATION in Tanzania CLOUDS FM, CLOUDS TV, CHOICE FM, COCONUT FM -Zanzibar, PRIME TIME PROMOTIONS pamoja na kutoa MCHANGO mkubwa sana kwenye Entertainment industry ya Tanzania na mafanikio mengine mengi.

HOngera zenu wazee wa mujini
Thomas luchese(three fingers brown)huyo mtu alikuwa hatari sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom