Clouds kulikoni mbona mnashinikiza Mgombea wa ccm Kirumba.

Kibwagizo

Senior Member
Mar 21, 2012
130
8
Katika magazeti kipindi cha asubuhi breakfast.Wanadai eti wanakirumba wamchague kijana ambaye ni mzawa.Sasa mimi najiuliza hivi
Clouds fm wanamjua Jaki Masamaki mgombea udiwani kata ya Kirumba kwa tiketi ya CCM kuliko wanakirumba wenyewe ambao sasa imasemekana kila kona anakopita kwa mguu anazomewa,wakidai toka ajiingize katika biashara aliacha mazoea na vijana wa Kirumba,na idadi kubwa hawamjui huyu jamaa, na huyu jamaa sio mzawa kama Clauds wanavodai.

NAWASILISHA
 
Hata mimi nilimsikia mpuuzi PJ akitamka hili, mbona halizungumzii kwa Arumeru ambako Siyoi hafaham chochote?
 
wanafiki hao,wanajipanga kufanya basday ya baba mwanaasha ndio maana unaona promo za kipumbavu zisizo na tafiti.na ukiona hivyo ujue kuna rushwa isha tembea hapo,wamepoteza mvuto kwa vijna na wapenda mabadiliko,kipindi chakusikiliza kilichobaki ni sports extra tu
 
Yule PJ ni gamba orijino. Hata usomaji wake wa magazeti huwa hasomi habari kuu za magazeti yote, anatafutaga ndani kijihabari kimoja kimfurahishacho yeye ndo anakisoma muda wote. Huwa sioni hata sababu ya kukiita kipindi chake "uchambuzi wa magazeti", bora angesema udondoaji wa gazeti moja kongwe la chama cha mapinduzi.
 
Kama ni kuwashauri wanakirumba hapakuwepo haja ya kumtaja mgombe kwa jina, binafsi nikijua clauds kama chombo cha habari ambacho hakitakiwi kuonyesha mapenzi upande wowote.Wana jamvi kama mnakumbuka siku za nyuma media hii ilionekana Kumsema sana huyu Masamaki sana kupitia Jingle iliyokuwa ikiamasisha vijana wajishughulishe kama akina JAKI MASAMAKI kutoka Mwanza.Kwa hili Clauds mtajipotezea washabiki.
 
wanafiki hao,wanajipanga kufanya basday ya baba mwanaasha ndio maana unaona promo za kipumbavu zisizo na tafiti.na ukiona hivyo ujue kuna rushwa isha tembea hapo,wamepoteza mvuto kwa vijna na wapenda mabadiliko,kipindi chakusikiliza kilichobaki ni sports extra tu

leo tena hasa heka heka kinahusika pia nw days dina naye anajifanya kuchambua ahata vtu asivyovijua..kukaa na ant sadaka bas anajihisi kujua saikososho kwa mapana ...anatumia kanuni zake ata kwenye issue za physical ye ana aply saikoloj.....nilikuwa nampenda lakin skuiz mhh UJUAJI WAKE UTAMZIDI ATA KIBONDE....jipange
 
Katika magazeti kipindi cha asubuhi breakfast.Wanadai eti wanakirumba wamchague kijana ambaye ni mzawa.Sasa mimi najiuliza hivi
Clouds fm wanamjua Jaki Masamaki mgombea u

NAWASILISHA

Jaki Masamaki ni jamaa mbea hafai..si ndo huyu huyu anaetangaza kwamba anampelekaga Lady Jay Dee kwa waganga mwanza ati anaandaa show kua JD ataperform kumbe Jide yuko Ufaransa..huyu hana tofauti na Tapeli ni hafai..dah kweli magamba wameishiwa!! hadi madalali????

Kwanza mleta mada wewe ndo janga la kitaifa utakuaje great thinker alafu chanzo chako cha habari kikawa Clouds-Ruge we Bongo mgeni nini aaaargh
 
naomba tuache kuiongelea topic yeyote inayohusu hiyo radio! radio magamba
 
hivi tanzania inaenda wapi wewe kama mtangazaji unaanza kupiga kampeni Nape hafanye nini?hivi hata chuo alichosomea kilimufundisha hivyo kwa ufupi cloude fm munaboa kuna kipindi kimoja tu sport xtra
 
Back
Top Bottom