MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,009
- 2,169
Nadhani radio zipo nyingi kama yalivyo magazeti. Unajuwa inategemea mtu unapenda kusikiliza habari za namna gani. Kama redio au gazeti linataja mambo siyoyapenda.. kwa nini usiipotezeee tuuuu. Uzuri ni kuwa redio zetu zinaweza kushika stesheni moja at a time,.. we badili frequency tu badala ya kubaki kulalamika.
Bado unahitaji kurekebishwa. Huwezi kuruhusu kila mtu apewe anachotaka. Hiyo itakuwa siyo nchi.
Unataka leo hii uonyeshwe ngono mchana kweupe eti kwa sababu unapenda na asiyetaka abadili frequency! Mbona itakuwa nchi ya wapumbavu!