CLOUDS FM Wamjibu Sugu kwa Kumleta DMX

Hivi wale kikosi chA mizinga watakua upande upi wa sugu au wa bwana rugemalaria no more?????mi upande watakaokuwepo wale ndio ntatia timu,wale nawakubali sana wako real!!

Kalapina kashasanda siku hizi kaenda kuomba msamaha kwa ruge ili apate promo,amesanda nilikuwa namkubali sana zamani now amesanda
 
Fiesta imeshaisha sema ruge ameamua kuandaa tamasha kumuaribia sugu kwenye uzinduzi wake

Ruge anaishusha hadhi na kuiaibisha kampuni ya Joseph kusaga

anatumia kampuni kujibizana na msanii(Sugu) ambaye si mshindani wa clouds kibiashara
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni' enzi zile nilikua sipendi kabisa kumsikia huyu mtu,tangu zinaingia hip hop za kucopy matusi ya wamarekani.Nikiwa chuo huyu bwana alianza kuhangaikia haki miliki za wasanii,wakati huo tukiona kama ni kitu kisichowezekana.lakini mpaka leo unaona COSOTA wameingia nimemkubali sana.Lakini yote tisa Kushinda Ubunge kwenye Jimbo Gumu kama Mbeya ambako nawafahamu vilivyo watu wa Huko,na kumshinda mwl. wangu niliyekua namuamini Mpesya nimemkubali sana huyu mtu.Lakini kitu kizuri nilichokipenda kwa Sugu ukikaa naye ni mtu msikivu kuliko hata unavyoweza kumchukulia jinsi hizi media zinavyoandika.Lakini ukitaka kumjua mtu mzuri angalia anayoyasimamia mambo anayoyaona yana manufaa.Amelisimamia hili la haki kwa wasanii kwa muda mrefu mpaka wakatofautiana na kina Ruge.Hili sitaona haya kumsupport kwa hali yoyote.
 
inabidi mumuunge mkono sugu kwa kwenda kwenye show sio mnaishia humu kwenye keyboard
 
clouds fm! Nadhani wametumia gharama kubwa sana kulipa mtaalam wa it!

Hata sijui nani anafanya huu ujinga bt watakuwa wafu fm hao wanatapatapa 2 wamekutana na sugu walimuibia vifaa vyake vya mziki naona yuko mbioni kuanzisha radio na tv yake na hawawezi kuzuia ndoto
 
Ruge mzushi tu, nakumbuka siku nilienda pale uwanja wa TPA saba saba maonyesho kuangalia ngumi kati ya Francis cheka na bondia kutoka Brazil, huwezi amini kilichotokea, jamaa katuchezeshea maglini kaleta msela sio bondia wala nini, sekunde ya kwanza tu mtu amekaa chini na mpambano umeisha, yani alituingiza mjini, sihudhurii tena matamasha ya huyu bwanaq
 
Back
Top Bottom