Clouds fm wa hack account ya adili ya facebook na kusambaza ujumbe kuwa kajitoa ant virus

Hip Hop for life, Mbeya for Life, tangu enzi za kina Nigga J, Sun Jacko, Dicka Sharp, KBC, BBG, Sugu pia Mbeya Club ma concert ya mchana, Centre, lyunga, Meta and all over we are supporting harakati against RUGE and his media company

Na wewe ni KINEGA?
 
Nimeona hizo post, najaribu kuamini kama kweli account ilikua hacked lakini inaniwia vigumu kuamini.

Nadhani hizi ni publicity stunts kwasababu AntiVirus inazinduliwa mwezi huu na wanahitaji watu wajue hilo. Ambao watataka kuhakikisha kama ADILI hajajitoa watataka kwenda kwenye show. You get it? I'm just assuming, though it makes sense.

Yah!its just a market strategy,nawapongeza kwa kuwa creative!!!
 
Sipendi mbunge anapoandika neno "usenge" kwenye public napata tabusa... i think chadema needs to do something, yeye kwa sasa ni mali ya watu na si anavyodhani
 
Mi sio mzuri sana kwenye mambo hayo,lakini namjua Adili toka uzunguni mbeya,nawajua wote hao kina san jacko,2 proud ambae nyie mtamuita mr two sijui sugu,dika sharp pia namjua,gabby bbg nae pia hao wote ni watu wa mbeya,niliwahi kuwa maisha ya mbeya kipindi cha nyuma 1990s,Adili alikua mtoto kipindi hicho,nataka tu kujua hivi Adili ana album ngapi mpaka sasa?
 
kwenye computer yake au sokoni?
 
ana album kam a saba hivi kwenye laptop yake but kwa kuwa yeye ni KINEGA hataki kunyonywa na wadosi akishirikiana na WAHAYA wa clouds kwa kuwa wao ni ma VIRUS wanajaribu kuwaondoa hao virus kwanza then ndio watakuja na album zao
 
Huyu Sugu nae sasa anajidhalilisha kuhangaika na watu wasio na akili kama Redio Mawingu.

Akicheza 2015 atarudia udeiwaka wake.
 
nilichopenda katika hili concert kukusanya washkaji waliotamba miaka ya kati ghafla wakazimika!wanikumbusha enzi za maconcert ya shami sisters maduu wa forodhani bills,korean culture,russian culture na dar institute!wangewatafuta na solid nature watoto wa TMK
 
..Unataka kumuua Ruge, ile kitu inazidi kummaliza nadhani mabega sasa yanashindana kwenda juu hana ubavu hata wa kurusha kibao...

Kwa rais si waliunganishwa as both have common interests-kwani hujui huyo ndo fisadi na mkuu wa fitna...!
Ndio maana kule kwetu hakuna kutoleana maneno kienyeji mtu akileta za kuleta unampa za chembe, ikishindikana panga moja la ugoko heshima inarudi na hiyo story inaisha sasa hii Ruge vs Sugu kila siku kila uchao..tuwape pambano watoane ngeu heshima irudi tufanye kazi ingne!!!
 
ana album kam a saba hivi kwenye laptop yake but kwa kuwa yeye ni KINEGA hataki kunyonywa na wadosi akishirikiana na WAHAYA wa clouds kwa kuwa wao ni ma VIRUS wanajaribu kuwaondoa hao virus kwanza then ndio watakuja na album zao

we naye shetani tu! WAHAYA wakati alimuibia saida karoli dada yetu kutoka kashalu bukoba,unaposema WAHAYA nakuona kilaza wa hali ya juu.huyo luge ni mpumbav tu kama wapumbav wengne tu!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom