CLOUDS FM rekebisheni Balance ya Sauti

Mkimbizi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
222
34
Toka asubuhi clouds FM sound balance haiko sawa. Yani speaker moja ya kushoto ina sauti kubwa kuliko nyingine. Nimegundua tatizo sio redio yangu sababu stations nyingine zote zimebalance...
 
Hapa Nairobi wanapatikana bila shida nadhani itakuwa ni minara yao ya huko!
 
Back
Top Bottom