KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Ndugu yangu ngoja nikwambie je ujui jambo leo ni la magamba?linamilikiwa na Malinzi?Nilikuwa busy usiku kucha. nikalala saa kumi na nusu alfajiri kushtuka nikakuta PB on saturday ambayo wanapitia mambo yote muhimu ya wiki.Nilipoamka ili kusikiliza & nikakuta wameipa coverage hotuba ya merry Nagu kwenye kampeni za arumeru mashariki. Merry anavyojinadi kwa mambo aliyoyawezesha wakati akiwa waziri wa viwanda na biashara.
Baadae wakampa coverage Sioyi Sumari akajinadi nikategemea kumsikia Nasari na Vicent wapewe nao ola. Labda kama walianza nao ndipo nitawaelewa! Sasa nilipojua kwamba sio bahati mbaya kwenye mapitio ya magazeti wakadai wamepata matatu tu! JAMBO LEO, MAJIRA na MTANZANIA! sasa Jambo leo si ni la magamba! habari iliyosomwa kwa kirefu ni propaganda za jambo leo!Kwamba CCM wameshamaliza kazi!
My take:
Kwanini tunailalamikia clouds? kwa miaka mingi tumekuwa tunaiheshimu kwa uwezo wao wa kutoa burudani na ubunifu. Leo Peoples station mtakubalije kuwa CCM Station? Hivi kweli SUPER BRAND mnaweza kuamua kutuvunja moyo vijana kiasi hiki? Tunajua magamba wanaweza kuwavamia kwa kuwa wanajua mnainfluence ya vijana lakini kwani si wote tunajua vijana wa sasa hawataki kufanywa wajinga?
AU MMEJISAHAU?