Clouds fm na kampeni urais 2015

Rais 2015 hatoki kaskazini...this is according to Ridhwani and UVCCM Coast Region...kwani Asha Migiro amebadili kabila lake? kwa sasa si mpare wa kili (kaskazini)???!!

Nafikiri watakuwa wametunga sheria mpya ya kubadilisha kabila,Mpare anaweza kuwa mtu wa Msoga.
 
kwani ishu ni zamu ya nani, au ni nan ameshinda.
kweli ivyo vidola vya UN vinawachanganya mmh, pole zao watu wazima wanaendeshwa hawana hata say na kituo chao kisa dola duuh.
 
Naona kama wamefanikiwa walichokitaka. Kuanzisha mjadala na watu unawatoa mapovu !!!!
 
si mlisema clauds ni ledio ya vijana mbona wagombea Urais wanaopigiwa kampaini sio vijana.
 
Eti
kibonde
atachaguliwa
ubunge
viti
maalum......so
funy......kibonde
upooooo???
 
sioni kosa la clouds kujadili hilo jambo!!!!!!!!!!watu humu ndani wana chuki binafsi and za kike
 
sioni kosa la clouds kujadili hilo jambo!!!!!!!!!!watu humu ndani wana chuki binafsi and za kike

mwana we ndo kibonde nin?kama ndie sema tucheke vizuri,ishu sio kujadili ishu wanaikampenia ccm,do u knw wanapanda nin kwenye vichwa vya watu wenye upeo mdogo wa kufikiri?kama huamini sikiliza redio yoyote kama kuna kupiga cmu,watu wote wanakuwa upande wa presenter regardless alikuwa anaongea pumba or point
 
sioni kosa la clouds kujadili hilo jambo!!!!!!!!!!watu humu ndani wana chuki binafsi and za kike

EL 4 201555555555555555555555555555555555555!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Una nia njema na lowassa kweli?sisi wenye afya nzuri tu mwaka huo hatufiki sembuse yule mtetemeka mikono lowassa
 
Back
Top Bottom