Clouds FM muige mfano CBE kwa kuvaa mavazi ya heshima!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,018
NIMEFURAHI JINSI REDIO YETU HII ILIVYOPONGEZA KUHSU SWALA LA MAVAZI INGAWA PENYE NANII APAKOSI NNANIINO WALITOKEA VIJANA WACHACHE WAKISEMA NA JE KUHUSU MADAWATI VIPI...

NIRUDI KWENYE HOJA NI KWELI KWA NIABA YA WOTE WALIOPEWA BAN MWEZI FEB TO MARC NAOMBA NIWAPONGEZE CBE KWA UAMUZI MZURI WA KUTUNZA MAADILI YA WATANZANIA NA VIZAZI VYETU VIJAZO

MWISHO NINGEOMBA SWALA HILI LIELEKEE SASA MAOFISINI NA IWE MUDA MUAFAKA KWA KILA OFISI KUANZA KUTEKELEZA AGIZO LA CBE KAM MAFANO WA HESHIMA KWA MAADILI YETU YA TANZANIA..KUMEKUWA NA MAVAZI YA AJABU AJABU SANA HASA MAOFISINI NAOMBA NIANZE NA HIII YA CLOUDS FM..UNAKUTA WANAKUJA OFISINI WANA VIPENSI VYAO WANAUME WENGINE WANA MANYOYA MIGUUNI KAMA WALE WANYAMA WETU ...

UKIKUTA MADADA WANAVAA VINGUO VYA AJABU WENGINE ZIWA NANE NANUSU HATA MWITIKIO AMA USHIRIKIANO HALINAA LAKINI KATIKATI KAACHA PWAAAAA KAMA LINASUBIRI MVUVI NAOMBA NISIFIKE MBALI ZAIDI MKIwa kama WAANZILISHI WA TOPIC YA CBE WAAKTI MUAFAKA SASA MVAE NA NYIE MAVAZI YA KIHESHIMA MTU ANAENDA KWENYE MIC KAWEKA KOFIA YA AJABU AJABU CHINI ANA MANYOYA YANANINGINIA

MADADA NAFIKIRI WAKATI MUAFAKA NA SIO TU HILO MH KUSAGA ANZA KUSAFISHA NYUMBAN ALAFU UENDE NA KWA WATEJA AIJALISHI WANAKULETEA NGAPI KAMA WANAKUJA GETINI NA VIMINI AIJALISHI AMETOKA WAPI PIGA CHIN NA WAAMBIE WALINZI WALA WASIANGAIKE KUWAFUNGULIA ZAIDI YA KUWASALIMU NA KUWAAMBIA SABABU ZA KUTOWAONA CLOUDS FM

NAOMBA SWALA HILI LIHESHIMIKE NA LIENDELEE MPAKA MAOFISINI WEWE NAKWAMBIA WEWE UNAESOMA ACHA KUWAINGIZA WENZIO MAJARIBUNI KUJARIBU SIO TATIZO ,TATIZO NI KUHARIBU KAZI WENZENU WAKIANGALIA HISIA ZA KICHWA CHA JUU ZINAAMIA KICHWA CHA CHINI NA UNAWEZA KUJUA AKILI ZOTE ZIKIAMIA CHINI NINI KINAENDELEA
 
mkuu Pdidy kweli jamaa jana wamewachana sana dada zetu wavaa ovyo....bila kusahau wavaa kata k.. nawapongeza sana kwa hilo .
 
Mimi siwaelewi wanaume wanaolalamika wanawake kuvaa miniskirts. Mbona wanapendeza sana machoni jamani;)

Nchi nyingine mwanaume ukilalamikia sana vimini tutakuwa na wasiwasi kama uko sawa bana. Ni mtu asiye riziki tu anayeweza akachukia kuona kazi ya Mungu kwenye uundaji wa mguu wa mwanamke.

Wikendi njema.
 
yaahhh walinifurahisha sana sana vijana waliowachana na kusema kweli wanaume tumeumbwa na hamu sasa mnapotuweka majaribuni hiyo dhambi ikitokea lazima iende kwa mjariibiwa..embu naomba namba ya wale vijana mkuu viper niwape offer ya CASSSSTLEEEEEEEEEEEE LIGHT BILAKUSAHAU NAOMBA WAMALIZE KAZI SAA KUMI TUANZE WEEKEND MAPEMA PALE MBELE TAFADHALI.....NAAMINI HII NI REDIO YETU AYA TAIFA PANAPOTAKIWA KUIBADLSHA ATUNA BUDI KUREKEBISHKA WELL DONE UONGOZI ...ILA MADADA WA PALE WANA MIGUU MIZURIIIII WAPWA LOH SASA SIJUI TUNAOENDAGA TUTAONAJE TENA
 
Thread yako umeianza vizuri ila inashangaza mtu wa Mungu sasa unaanza kupromote pombe!!....... unahitaji maombi naona umeshakuwa mtu wa Mataifa.
 
kibonde alisema eti ****** ya wanaume hayana sura nzuri na hayavutii na ndio maana hata manesi wakati wa kuchoma sindano hufunua kidogo tu akishachoma anapaka spiriti na kufunika haraka sana na hii ilikua kwa wanaume wavaa kata k.....kwa wanawake eti utakuta mwanamuke amevaa sketi fupi miguu myembamba halafu inamadoamadoa meusi kama nuktanukta hivi.
 
yaahhh walinifurahisha sana sana vijana waliowachana na kusema kweli wanaume tumeumbwa na hamu sasa mnapotuweka majaribuni hiyo dhambi ikitokea lazima iende kwa mjariibiwa..embu naomba namba ya wale vijana mkuu viper niwape offer ya CASSSSTLEEEEEEEEEEEE LIGHT BILAKUSAHAU NAOMBA WAMALIZE KAZI SAA KUMI TUANZE WEEKEND MAPEMA PALE MBELE TAFADHALI.....NAAMINI HII NI REDIO YETU AYA TAIFA PANAPOTAKIWA KUIBADLSHA ATUNA BUDI KUREKEBISHKA WELL DONE UONGOZI ...ILA MADADA WA PALE WANA MIGUU MIZURIIIII WAPWA LOH SASA SIJUI TUNAOENDAGA TUTAONAJE TENA

Hata kibaya kina uzuri wake kwa mbaaaali,ungeionaje sasa. Chagua mchumba.
 
Suala la mavazi jamani ni tatizo! mi nashukuru SAUT Mwanza wameweza! naamini wengine pia wataweza,ili mwisho wa cku jamii yetu ijivunie wasomi hawa!
 
Thread yako umeianza vizuri ila inashangaza mtu wa Mungu sasa unaanza kupromote pombe!!....... unahitaji maombi naona umeshakuwa mtu wa Mataifa.
wa mataifa yukoje mkuu....
 
Mimi siwaelewi wanaume wanaolalamika wanawake kuvaa miniskirts. Mbona wanapendeza sana machoni jamani;)

Nchi nyingine mwanaume ukilalamikia sana vimini tutakuwa na wasiwasi kama uko sawa bana. Ni mtu asiye riziki tu anayeweza akachukia kuona kazi ya Mungu kwenye uundaji wa mguu wa mwanamke.

Wikendi njema.

ishu siyo kaz ya mungu ni mbaya aaa tunachosemea ni kuwa maadili yetu hayatutaki tufanye hivo na siyo kila sehemu ya mwanamke inahtaji kuonekana ovyoovyo kama mbwa.
 
Maadili gani hayo unayomaanisha?

Kwa taarifa yako, wakoloni walipoingia eneo lilipo nchi yetu, walikuta watu wanatembea uchi wa mnyama. Hata lile jani la kusitiri sehemu za siri kama Adam na Hawa tulikuwa hatutumii. Hii inamaanisha kuwa jadi per se ya Mtanzania ni kutembea uchi - Je, ndiyo maadili hayo ungependa tuyarudie?
 
Uckute hii ishu ya dress code,CBE,IKAWA nguvu ya soda...yetu macho..2tarecall threads na maneno yote yaliyotamkwa hapo ndipo 2takapo jipa tathmini ya kutosha.
 
maadili ya wapi? Nguo zetu za magome zilikuwa ni kuficha utupu matiti nje kwa wanawake na wanaume wanaficha utupu tu, je tuwe tunavyaa hivyo? Maana hapo maadili ndo yatakamilika

ishu siyo kaz ya mungu ni mbaya aaa tunachosemea ni kuwa maadili yetu hayatutaki tufanye hivo na siyo kila sehemu ya mwanamke inahtaji kuonekana ovyoovyo kama mbwa.
 
Watanznaia tuna mambo mengi ya muhimu ya kushughulikia zaidi ya hili la mavazi wanayovaa wanawake. Tunatumia akili nyingi mno kumchunguza mwanamke. Waacheni wavae wanavyotaka.
 
Back
Top Bottom