Clouds FM inaniibia

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,670
13,236
Napenda kutoa malalamiko yangu kupitia tovuti hii makini naamini kuna wana Clouds watanifikishia ujumbe huu.

Kuna ujumbe wanatuma kupitia simu ya kiganjani ambayo huwa imetoka Clouds kwanza +15556.

Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikitumiwa hizi meseji bila kujua, baadae nikabaini kuwa kila nikitumiwa meseji moja nakatwa Tsh.350.

Kinacho niudhi ni meseji zenyewe za kijinga tu.
 
Last edited:
nikupe mifano miwili tu kati mingi niliyo wahi kutumiwa:

-tarehe10/08/2009.Timu ya taifa ya tanzania imeondoka leo kuelekea rwanda kwa ajili ya mchezo wa kitaifa wa kirafiki na mchezaji Nsajigwa hayumo katika kikosi hicho.

-tarehe 03/09/2009, moja kati ya wasanii, k west, lil wyne, khlson, buster rymes atakuwepo kwenye fiesta ya mwaka huu ambayo itaanza rasmi baada ya mfungo kumalizika

kweli wadau kuna haja ya kuniibia kiasi kikubwa cha pesa namna hiyo kwa habari za kipumbavu namna hiyo?
 
Last edited:
baadae nikabaini kuwa kila nikitumiwa meseji moja nakatwa Tsh.350,000.Kinacho niudhi ni meseji zenyewe za kijinga tu.

Kha! mkuu kweli?
Kuna meseji flani iwa zinatumwa kwenye cmu ukiaccept unaweza ukawa unaliwa 350 kwa siku cha kufanya wasiliana na kampuni ya mtandao wa cmu unayo tumia watakuondoa au kukata kuliwa pesa yako. Kama tiGo wapigie kwa kutumia hii 0713800800.
 
Napenda kutoa malalamiko yangu kupitia blog hii makini naamini kuna wana clouds watanifikishia ujumbe huu.Kuna ujumbe wanatuma kupitia simu ya kiganjani ambayo huwa imetoka clouds kwanza +15556.Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikitumiwa hizi meseji bila kujua,baadae nikabaini kuwa kila nikitumiwa meseji moja nakatwa Tsh.350,000.Kinacho niudhi ni meseji zenyewe za kijinga tu.

mkuu,
laki tatu na nusu (Tsh. 350,000) au mia tatu hamsini (Tsh. 350)??
 
Nakwambia niliwapigia vodacom wakasema sisi hatuhusiki na vitu kama hivyo.....nilipodadisi iwapo wamewaruhusu wahuni watumie mtandao wao kwa maslahi binafsi ndipo aliposema inawezekana kuna makubaliano ya kiofisi nilipodadisi zaidi akawa mkali kwamba niende huko clouds nikapate maelezo.

Wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana watru kibao wanaibiwa kwa staili hii bila kujua.kama ulikuwa hujui hii +15556 ni namba hatari......
 
350/= kaka inaniuma sana mkuu....
Kha! mkuu kweli?
Kuna meseji flani iwa zinatumwa kwenye cmu ukiaccept unaweza ukawa unaliwa 350 kwa siku cha kufanya wasiliana na kampuni ya mtandao wa cmu unayo tumia watakuondoa au kukata kuliwa pesa yako. Kama tiGo wapigie kwa kutumia hii 0713800800.
 
haya madubwasha ni mtandao wa vodacom kaka....nisaidie namba yao.....najua kuwa ''USAWA HAUPATIKANI KWA MZANI KUWA SAWA...ILA INATEGEMEA NA MPIMAJAI MWENYEWE''

haya madubwasha ni mtandao wa vodacom kaka....nisaidie namba yao.....najua kuwa ''USAWA HAUPATIKANI KWA MZANI KUWA SAWA...ILA INATEGEMEA NA MPIMAJI MWENYEWE''

Kha! mkuu kweli?
Kuna meseji flani iwa zinatumwa kwenye cmu ukiaccept unaweza ukawa unaliwa 350 kwa siku cha kufanya wasiliana na kampuni ya mtandao wa cmu unayo tumia watakuondoa au kukata kuliwa pesa yako. Kama tiGo wapigie kwa kutumia hii 0713800800.
 
haya madubwasha ni mtandao wa vodacom kaka....nisaidie namba yao.....najua kuwa ''USAWA HAUPATIKANI KWA MZANI KUWA SAWA...ILA INATEGEMEA NA MPIMAJAI MWENYEWE''

Dah pole mkuu sasa cha kufanya wewe nenda mguu kwa mguu mpaka kwa hao VODA wenyewe siamini kama hao Clouds kama wanahusika kufyonza pesa yako bila kushirikiana na VODA wenyewe lazima kuna kitu nyuma ya pazia.
 
of course itabidi nifanye hivyo...ila nilitaka kutoa tahadhari kwa wasiojua kuhusu haka ka chuma ulete.....
Dah pole mkuu sasa cha kufanya wewe nenda mguu kwa mguu mpaka kwa hao VODA wenyewe siamini kama hao Clouds kama wanahusika kufyonza pesa yako bila kushirikiana na VODA wenyewe lazima kuna kitu nyuma ya pazia.
 
kweli m hata mimi siamini kama kuna mtu au kampuni inaweza kukuletea ujumbe kupitia mtandao wa voda bila wao kujua......kwa maana nyingine walimaanisha hizo meseji zingeingia tu hata kama voda wasingekuwepo kitu ambacho sikubaliani nao...........inauma jamani kuibiwa hivihivi
kusema voda hawahusiki ni wizi mtupu...
 
pole kaka , pigia simu watu wa mtandao ulioko ujinasue
Hizo namba zenye digit tano, eg 15572, 15578 etc huwa ni makubaliano ya mitandao ya simu, mtoa matangazo na TCRA. Kwa mfano kupiga simu kuwaondoa watu BBA, ile namba inaypotumika wahusika wakuu ni BBA, TCRA na mitandao ya simu inayotajwa. HATA HIVYO POLE, ACHA KUTUMA SMS KWENDA NAMBA USIZOZIJUWA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom