isipuuzwe nia yao -- kuwafagilia magamba ifikapo 2015!! wamefanikiwa kuwa na usikivu mkubwa karibu kila pembe ya nchi hii -- inaelekea ule ukomo wa masafa haupo. Wanapasha kwa ku brain wash watu wawe vijana au wazee. kuna mji tena wa chadema redio hii imezimeza local fm radio -- nafikiri tuanzie hapo -- kuwatukana hakusaidiii.