Clouds fm inaliangamiza taifa

Yes.not much ....but those few times.....i was puzzled...
remember when they call 'a terrorist bump' when Michelle went to 'THE VIEW'?????/
a terrorist bump????

No I don't remember. Can you put a YouTube clip of it?

And what about Msnbc calling Rick Perry a racist or saying he called Obama a dark cloud when he didn't and in the end they had to apologize? Want a video clip of it? I can give it to you....
 
Pro-CDM JF wanataka Clouds Fm wawe wanatangaza CDM huko ni kuangaika tu.

CDM si mfungue radio yenu kuanzia asubuhi mpaka jioni ni kuisifia CDM na kupiga Rege za Bob..

Clouds moja ya radio zinazopendwa sana nchini na wanapata matangazo mengi ya biashara..

Kinachowasumbue nyie ni wivu wa kike tu hakuna kingine
 
MSNBC unaipenda?

No.
I usually don't like opinionated shows.(Hannity, Countdown, Ed Show, Cavuto etc)
That's why I like the following shows because they criticize anybody from Dem/GOP if goofed, and at the same time they give credits where it deserved whether its Dem/Gop or Obama /Perry etc.
The All Star Panel (Charles Krauthhammer, Bill Kristol, Juan Williams and Mara Lawson)
AC 360
Morning Joe
 
No.
I usually don't like opinionated shows.(Hannity, Countdown, Ed Show, Cavuto etc)
That's why I like the following shows because they criticize anybody from Dem/GOP if goofed, and at the same time they give credits where it deserved whether its Dem/Gop or Obama /Perry etc.
The All Star Panel (Charles Krauthhammer, Bill Kristol, Juan Williams and Mara Lawson)
AC 360
Morning Joe


morning joe si ipo msnbc????
 
mi nadhani chama cha magamba kitakapo ngoka madarakni lazima clouds itakufa 2
 
Tafadhari ni tujurishane elimu za hawa mnawaita watangazaji maana mm niliacha kusikiliza maana nina amin hawa ni sawa 2 na wa kifimbo fm, sijui nn fm
Clouds fm imejaa MAKANJANJA watupu nduguzangu wala msishangae wanayoyafanya leo hii
 
Kama clouds fm ina kuboa nakushauri sikiliza redio kheri, inakufaa sana maana ina vitu vyote ambavyo huvipendi clouds fm
 
Unasema itaangamiza TAIFA? Taifa lipi? Unadhani dar es saalam ndo TAIFA zima?
Kwa taarifa tu, clouds inasikilizwa ZAIDI dar !
 
naheshimu maoni yako. Lakini ukumbuke hizi ni zama nyingine i.e. Freedom of press/expression. Kila nchi dunia hii kuna chombo/vyombo vya habari ambavyoo kinakuwa kero kwa watu wengine na at the same time kinakuwa ni raha kwa upande mwingine.
Kuna watu ambao hatupendi :big brother africa, rush limbaugh, sean hannity, fox news, glen beck, lura ingraham etc. Lakini at the same time kuna mamilioni ya watu hupenda. Ndizo zama za freedom of press/expression.

sita alizungumza last week itv wakati anazungumzia utawala wa sheria! (tafsiri yangu) hatutakiwi ku copy and paste! Kama jamii tuna misingi yetu, kilichotakiwa ni kuiboresha! Kwamba inatakiwa kudesa na sio kukopi, mambo ya kukopi ndo hayo yanatupeleka kuamrishwa kushirikiana na mashoga! Naomba 'tukue kama jamii'
 
Kumbuka katika utafiti uliofanywa kama sikosei mwaka jana,hii Radio ilitajwa kama Radio inayosikilizwa sana maeneo ya mijini. Na unapoilalamikia kuwa inaharibu vijana,inabidi uwe na hoja za dhati. Isiwe ikawa unazungumza hayo kwa sababu binafsi. Mimi ninaamini karibu Radio stations zote hapa Tz ambazo zinalenga vijana,vipindi vyao vyote vinafanana.
Tazama Vya Radio vyenye kuongoza kwa kuwa na Matangazo mengi ya biashara,ni:
1. Free Africa
2. Radio One
3. Clouds Fm
Na ni Radio ambayo ina nguvu kubwa sana ya kushawishi vijana,na labda inawezekana ikawa sababu ya kutumiwa na Wanasiasa wengi kama unavyodai.
Nimeongea hayo sio kwa lengo la kuitetea hii Radio,bali kueleza kile ninachofahamu.
 
Mungelitoa mifano mgelinisaidia sana katika maoni. Hata hivyo kuna mambo ya kuangalia katika media. Utafiti hutangulia, Je? wasikilizaji wanataka kusikiliza nini? Ninachokijua kwa uhakiki, ni radio yenye wasikilizaji wengi. Wanasikiliza nini sijui sana. Kuna suala jipya la Entrepreneurial Journalism, Labda hiyo ni msukumo wao. Lakini kuna maadili ya uandishi yanayozuia mabaya yote mnayoyafikiria. Kama una baya lolote redio yao itafungiwa ukiyapeleka TCRA.

Leteni mifano ya mabaya yao ili wafungiwe. Kama hayopo wao wanasonga mbele. Mnajua kuwa magezeti yanayoitwa ya Udaku, huwa yanaandika ukweli kwa asilimia kubwa? Huenda ndiyo sababu yanapenda. Yanaandika nani, na picha yake, kafanya nini, wapi, lini, na kafanyafanyaje. Mnyonge myongeni haki yake mpeni.
 
Nyani Ngabu, na The Boss, naona kwa kitu mnchokiongelea hapo juu dah, ninyi wenzetu mko kimbeleze zaidi wakati sisi huku Uswaz tukibishana kati ya TBC na ITV wapi wana habari nzuri ninyi msha vuka mipaka na mnajadili juu ya Fox News na Msnbc.
 
Back
Top Bottom