Clouds fm inaboaaaaaaaa!!! Kila kitu kinondoni!!!!

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,479
12,738
yani hii station natamani hata sugu angekuwa mbunge wa kinondoni maana angewabomoa, wanaboa na vipindi vyao yaani kila kitu wanajua kiko kinondoni tu!
Wakaanga chipsi wanataja kinondoni
bonge wa power breakfast anaripoti habari za maeneo ya kino
wakitaja maeneo ya starehe wanayajua ya kino tu
saluni nzuri wanajua za kino tu
yard za magari wazijua za kino tu
barabara nzuri waazijua za kino tu
beach nzuri wanazijua za kino tu

kila kitu kinondoni acheni ushamba redio yenu iko country wide badilikeni bana.... Mnaboaaaa sana

tumewachoka sana........ Ndio maana mnapigwa vita
 
Tafuta redio ambazo haziongelei mambo ya Kinondoni.
Hapa umemhusisha Mh.Sugu na redio hii kwanini?Nyie ndio watu ambao mnatengenezea watu bifu zisizokuwa na maana,mawingu redio inahusiana vipi na mbunge wa Kinondoni???
 
wewe siku zote unaandika mawazo kutoka masubirini mwako, relate the two issues utaelewa nilimaanisha nini!
 
yani hii station natamani hata sugu angekuwa mbunge wa kinondoni maana angewabomoa, wanaboa na vipindi vyao yaani kila kitu wanajua kiko kinondoni tu!
Wakaanga chipsi wanataja kinondoni
bonge wa power breakfast anaripoti habari za maeneo ya kino
wakitaja maeneo ya starehe wanayajua ya kino tu
saluni nzuri wanajua za kino tu
yard za magari wazijua za kino tu
barabara nzuri waazijua za kino tu
beach nzuri wanazijua za kino tu

kila kitu kinondoni acheni ushamba redio yenu iko country wide badilikeni bana.... Mnaboaaaa sana

tumewachoka sana........ Ndio maana mnapigwa vita

Kwani umesikia radio hiyo mjengo wake upo Temeke?
Kuna radio nyingi kwa nini usisikilize hizo sikiliza radio Uhuru.
Wewe sasa ndo unaboa
 
mwana umetumwa usikilize...???! mi nawashngaa sana mnaolalamikia hi radio ... mbona stations ipo nyingi..??

Wanavijiba vya roho, wivu umewajaa tele
Hii radio inapiga hatua na mahaters nao wanazidi kuongezeka juu ya hii radio
 
mwana umetumwa usikilize...???! mi nawashngaa sana mnaolalamikia hi radio ... mbona stations ipo nyingi..??

mkuu si unajua unaweza kusikiliza bila ridhaa yako sometimes, na hapo ndo unapokeleka zaidi, upuuzi mtupu yani, na magari yetu haya hukawii kuisikiliza maana hayana wigo mpana...... anyway mkuu nimekupata!
 
upo sawa ndugu, hii radio inafika kona nyingi za nchi. Wajaribu kuzungumzia hata ya mikoani, wameegemea eneo moja tuu. Ushauri tuu!!!!
 
Halafu Hiyo kinondoni wanayoipaisha Ni chafu, inanuka, uswahilni sijapata kuona.
 
Watangazaji wao wengi wametokea mikoani, sio wazawa wa Dar..so bado wana ulimbukeni flani na dsm.
 
wewe siku zote unaandika mawazo kutoka masubirini mwako, relate the two issues utaelewa nilimaanisha nini!
nyingi ya hizo saloon ni za wenyewe ndo maana wanazipromote mkuu. Na hiyo redio kila mtumishi wake ni ccm, ridhiwani amesambaza kirusi cha ccm kila sekta ya redio hiyo
 
yani hii station natamani hata sugu angekuwa mbunge wa kinondoni maana angewabomoa, wanaboa na vipindi vyao yaani kila kitu wanajua kiko kinondoni tu!
Wakaanga chipsi wanataja kinondoni
bonge wa power breakfast anaripoti habari za maeneo ya kino
wakitaja maeneo ya starehe wanayajua ya kino tu
saluni nzuri wanajua za kino tu
yard za magari wazijua za kino tu
barabara nzuri waazijua za kino tu
beach nzuri wanazijua za kino tu

kila kitu kinondoni acheni ushamba redio yenu iko country wide badilikeni bana.... Mnaboaaaa sana

tumewachoka sana........ Ndio maana mnapigwa vita
umelazimishwa kuisikiliza?, mbona redio zipo nyingi sana....
 
yani hii station natamani hata sugu angekuwa mbunge wa kinondoni maana angewabomoa, wanaboa na vipindi vyao yaani kila kitu wanajua kiko kinondoni tu!
Wakaanga chipsi wanataja kinondoni
bonge wa power breakfast anaripoti habari za maeneo ya kino
wakitaja maeneo ya starehe wanayajua ya kino tu
saluni nzuri wanajua za kino tu
yard za magari wazijua za kino tu
barabara nzuri waazijua za kino tu
beach nzuri wanazijua za kino tu

kila kitu kinondoni acheni ushamba redio yenu iko country wide badilikeni bana.... Mnaboaaaa sana

tumewachoka sana........ Ndio maana mnapigwa vita

Sikiliza 100.5 Times FM
 
sasa mkuu, unataka wataje namanga na hawapajui? Au wataje unga ltd na hawapajui? Au wataje vichochoro va kupitisha magendo pale tarakea na hawapajui?
Lazima wataje kinondoni tu.
 
Back
Top Bottom