Clouds FM haisikiki Mbeya city ni mwezi wa 3 nasikia wamefunga sababu ya mbunge wa Mb town

RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
Je jamaa wanafanya biashara au, maana Mbeya hamna FM ya maana na zote zinaongea ujinga ujinga tu. Bora clouds kidogo ilikuwa inabadilisha mazingira.

Ukimuuliza kila mwenyeji wa hapa wanasema n habari za siasa kaka, je tutafka kama kila kitu ni siasa jamani? Naombeni majibu wadau au kama kuna staff wa clouds ajibu umu ndani kwenye jamii maana sisi ni wana jamii.

Nawakilisha toka Mbeya Tauna

Chadema na Sugu wamewafanyia uhuni Clouds. Lakini ungetarajia nini kutoka kwa mbunge aliyepata FOUR Form FOUR zaidi ya wivu, chuki na majungu.

Afadhari, sikilizeni rfa, saa ya ukombozi itafika na watafunga nchi nzima

Chadema na Sugu wamewafanyia uhuni Clouds. Lakini ungetarajia nini kutoka kwa mbunge aliyepata FOUR Form FOUR zaidi ya wivu, chuki na majungu.
Sasa mbona wewe lakini hujui maana ya Reputation Power mpaka unaanzisha thread kuuuliza swali ambalo hata mwanafunzi wa chekechea anajuwa? hivi unafahamu kama kuna tofauti kubwa kati ya wahitimu na walioelimika? wewe ni muhitimu.

Chadema na Sugu wamewafanyia uhuni Clouds. Lakini ungetarajia nini kutoka kwa mbunge aliyepata FOUR Form FOUR zaidi ya wivu, chuki na majungu.

KWA SASA TUMEWAPA BANI NA WAO WAONJE JOTRO LA JUA KIDOGO, TUNA REDIO IBONY HAKIJA HARIBKA KITU

Chadema na Sugu wamewafanyia uhuni Clouds. Lakini ungetarajia nini kutoka kwa mbunge aliyepata FOUR Form FOUR zaidi ya wivu, chuki na majungu.
watu wenye div 3 za 25 mna kelele sana, hata hao wenye div 4 ni binadamu kama wewe. Tena usisahau GPA ya 2.0 ya Mwenyekiti wenu.

kwani CDM wanahusika vipi hapo na mambo elimu, kumbukeni mafisadi wa elimu wamejaa ccm hamuwaoni?

Unataka nikumwagie matokeo yangu hapa

Can you tell this forum what benefit you get from your fying colours. Au ndo unabaki kujisifia bar unamuona yule nilikuwa nampita darasani hakuwa na akili kama mimi

Chadema na Sugu wamewafanyia uhuni Clouds. Lakini ungetarajia nini kutoka kwa mbunge aliyepata FOUR Form FOUR zaidi ya wivu, chuki na majungu.

@ Mwita, that is not the reason brother, Bifu la Sugu na Bwa Ruge halijaanza leo,na ukifatilia chanzo cdhan kama utamlaum Sugu

Chadema na Sugu wamewafanyia uhuni Clouds. Lakini ungetarajia nini kutoka kwa mbunge aliyepata FOUR Form FOUR zaidi ya wivu, chuki na majungu.

Kweli umenichekesha sana ,Hao watangazaji waliowengi clouds wanataaluma gani mpaka useme Mb Joseph Mbilinyi ni form four ana majungu na wivu!?.
Kama mtu ammbaye amemaliza form four hana tija yoyote zaidi ya majungu na wivu,Clouds Radio itakuwa ndio bingwa wa majungu na wivu kutokana na taaluma za wafanyakazi wengi wanaofanya kazi kwenye kituo hicho.
Nawasilisha

hata kanda ya ziwa imefifia ,walikuwa na hela za kupigia kampeni za magamba sasa hawana tena. wachina wanasema 'kufara'

Sioni uhusiano wa elimu ya mtu na nafasi yake kisiasa, acha vivu mwita, wewe ndio mfano wa watanzania wenye elimu na kuwadharau wengine

Chadema na Sugu wamewafanyia uhuni Clouds. Lakini ungetarajia nini kutoka kwa mbunge aliyepata FOUR Form FOUR zaidi ya wivu, chuki na majungu.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom